Ndemla kupewa gari na kiongozi kutaivuruga timu


Wachezaji Haji Mwinyi (kushoto) na Juma Mahadhi wakipatana bei na waendesha bodaboda wakati walipowasili katika bandari ya Dar es Salaam





alipaswa kuingia kwenye boti na usafiri wake akishuka anapanda kwenda zake nyumbani?
 
Aaah, mkuu uwe na kiasi. Hizo zawadi unazotolea mfano zimewekewa utaratibu na vigezo vya wazi (observable) ili kuzipata, yaani ukiwa wa kwanza darasani, ukipata 'A', kuwahi shuleni, n.k, hivyo atakaye kuwa wa kwanza darasani akipewa hiyo zawadi itakuwa hakuna ubishi hata kwa wanafunzi wenzake. Sasa hebu wewe niambie, Ndemla anapewa gari na Hanspope kwa kufanya nini? kupiga chenga? kutoa pasi? kusababisha magoli? kuchelewa kuingizwa uwanjani? kurubuniwa ili asiondoke? au nini alichofanya kizuri kuwazidi wachezaji wenzake woote mule uwanjani? mtoa zawadi lazima afafanue kile alichokifanya Ndemla ili mchezaji mwingine akikirudia kile alichokifanya Ndemla nae aipate hiyo zawadi, asiwe subjective.
 
Mohamed Zimbwe Hussein mwaka jana alipewa gari na Pop mbona hakuvuruga timu
 
kumbe ndiyo maana wanaukosa ubingwa misimu 4 sasa
 
Mohamed Zimbwe Hussein mwaka jana alipewa gari na Pop mbona hakuvuruga timu
ndio maana timu ilikuwa ikiongoza ligi kwa point 8 lakini wakaukosa ubingwa kwa upuuzi kama huyo unaousema.
 
Mapenzi mabaya sana kuna impact kubwa sana lazima itokee kama:
Ubinafsi
Chuki
Umoja kat ya wachezaji utapungua
 

Na Mimi pia nina Zawadi yangu na ' Muhogo ' nataka nikupe kwa kuwa mmoja wa Wachangiaji wa Kutukuka hapa Jamvini je upo tayari nikutunuku / nikuzawadie?
 
Msuva akiwa Yanga alipewa debe la Mchele na Mashabiki

Niyonzima hivo hivo...


Ajibu juzi kati baada ya game na Mji ...kagera na Stand mashabiki walijichanga wakampa milion moja..

Kipa naye Youth alipata pesa kwa mashabiki mbona haikuharibu timu??
 
Msuva akiwa Yanga alipewa debe la Mchele na Mashabiki

Niyonzima hivo hivo...


Ajibu juzi kati baada ya game na Mji ...kagera na Stand mashabiki walijichanga wakampa milion moja..

Kipa naye Youth alipata pesa kwa mashabiki mbona haikuharibu timu??
Roho inauma team yetu tukitoa motisha ila wao wakifanya sio tatizo
Nilichogundua huyu kavulata sio mzima kabisa kichwani mfano kibao haoni kakomaa na ujinga wake
Kama anafatilia mpira ishu ya Neymar na Cavan pale PSG ilimalizwa kwa motisha kwa Cavan tu sio team nzima leo PSG ipo wapi
 

Mkuu, isikusumbue. Hiyo zawadi si kwa sababu ya mechi ya jana pekee, Hanspope aliwaambia wachezaji wote siku za nyuma kuwa atakayecheza vizuri kwa nidhamu nitampa zawadi. Amesema wazi kuwa Ndemla amekuwa akitokea benchi lakini anacheza kwa nidhamu kila akipewa nafasi. Pia amesema jana ilikuwa ni hitimisho la ufuatiliaji wake wa mechi kadhaa
 
Chukua balimi nakuja lipa
 
kucheza kwa "nidhamu" ni kucheza namna gani: kutopewa kadi? kutokuzozana na refa? kutokupoteza pasi? kukubali kuingizwa dakika za mwisho bila kukasirika? au kufanya nini ndio kucheza kwa nidhamu? acheni hizo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…