Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah, mkuu uwe na kiasi. Hizo zawadi unazotolea mfano zimewekewa utaratibu na vigezo vya wazi (observable) ili kuzipata, yaani ukiwa wa kwanza darasani, ukipata 'A', kuwahi shuleni, n.k, hivyo atakaye kuwa wa kwanza darasani akipewa hiyo zawadi itakuwa hakuna ubishi hata kwa wanafunzi wenzake. Sasa hebu wewe niambie, Ndemla anapewa gari na Hanspope kwa kufanya nini? kupiga chenga? kutoa pasi? kusababisha magoli? kuchelewa kuingizwa uwanjani? kurubuniwa ili asiondoke? au nini alichofanya kizuri kuwazidi wachezaji wenzake woote mule uwanjani? mtoa zawadi lazima afafanue kile alichokifanya Ndemla ili mchezaji mwingine akikirudia kile alichokifanya Ndemla nae aipate hiyo zawadi, asiwe subjective.Alipopewa hivyo hivyo Gari Beki wetu mahiri Mohamed Hussein Tshabalala ' Zimbwe Jr ' kuliivuruga Timu? Siku nyingine jitahidi kutumia akili zako zote ulizopewa na Mwenyezi Mungu kufikiri na kujua kujenga hoja. Basi kwa taarifa yako tu technically na psychologically hiyo hatua ya Wachezaji kupewa Zawadi za Magari kila mara ndiyo itaongeza chachu maradufu kwa Wachezaji na ushindani ambapo kila Mtu atataka kuonyesha Kiwango ili nae apewe Gari lakini pia hapo hapo anakuwa anaisaidia Timu katika kupata ushindi Uwanjani.
Hivi Ofisini Kwako Bosi wako akiamua kukupa Wewe Zawadi na Wenzako wakijua huwa wanaumia au na Wao sasa wanaongeza bidii na ufanisi Kiutendaji ili na Wao wakati ujao Bosi awaone na awape / awatunuku hizo Zawadi? Hivi zile Zawadi ambazo tulikuwa tukipewa Mashuleni na Walimu mbele za School Baraza kwa Ufaulu mzuri ulikuwa unawavunja moyo Wanafunzi wengine au ndiyo Kwanza ulikuwa unawapa ' Usongo ' na Wao kusoma kwa bidii ili muhula ujao nao Wafaulu wapewe Zawadi na pia waipe Sifa Shule kwa Kufaulisha vyema Wanafunzi wake?
Hoja yako ni ' Mfu ' mno na haifai kuwepo katika ' Himaya ' iliyotukuka na ' Magreti Thinka ' wa JamiiForums.
Mohamed Zimbwe Hussein mwaka jana alipewa gari na Pop mbona hakuvuruga timuKatika mchezo unaohusisha watu wengi kuufanikisha huwezi kutoa zawadi kwa mchezaji mmoja pekee. Kitendo hicho kinaweza kutendwa na watu binafsi au taasisi nyingine lakini sio kiongozi wa timu. Kiongozi wa aina hii anawagawa na kuwavunja moyo wachezaji wengine kijiiinga kabisa.
Ndemla kacheza na kupeana pasi na wenzake kwanini kiongozi ampe mchezaji mmoja zawadi ya gari na kuwaacha wengine wote hata akina Kichuya waliofunga magoli?
OK OKMohamed Zimbwe Hussein mwaka jana alipewa gari na Pop mbona hakuvuruga timu
kumbe ndiyo maana wanaukosa ubingwa misimu 4 sasaKichuya usiwe na wasi wasi utapata tu gari lako huyu mtoto Ndemla kuvumilia sana hapo simba acha na yeye apate bhana
Na huu utaratibu wa Hans Pope kutoa zawadi hajaanza leo na haijawahi team kugawanywa kama unavyo taka kuaminisha watu
Ndemla kupata gari haki yake
Kwa waliopata magar hao wapi uliowana ubinafsi ama uchoyo??Mapenzi mabaya sana kuna impact kubwa sana lazima itokee kama:
Ubinafsi
Chuki
Umoja kat ya wachezaji utapungua
Aaah, mkuu uwe na kiasi. Hizo zawadi unazotolea mfano zimewekewa utaratibu na vigezo vya wazi (observable) ili kuzipata, yaani ukiwa wa kwanza darasani, ukipata 'A', kuwahi shuleni, n.k, hivyo atakaye kuwa wa kwanza darasani akipewa hiyo zawadi itakuwa hakuna ubishi hata kwa wanafunzi wenzake. Sasa hebu wewe niambie, Ndemla anapewa gari na Hanspope kwa kufanya nini? kupiga chenga? kutoa pasi? kusababisha magoli? kuchelewa kuingizwa uwanjani? kurubuniwa ili asiondoke? au nini alichofanya kizuri kuwazidi wachezaji wenzake woote mule uwanjani? mtoa zawadi lazima afafanue kile alichokifanya Ndemla ili mchezaji mwingine akikirudia kile alichokifanya Ndemla nae aipate hiyo zawadi, asiwe subjective.
Timu ilishuka daraja,akashauriwa na matajiri wa Simba anaweza kupata timu kali zaidiHivi dili la ndemla kwenda ulaya limekuaje ?
Wewe utakuwavunakaa kwenye nyumba za kupanga uswazi sio bureSimba imekuwa na wachezeji mashoga huwenda nahuyu kapewa na bwanaake.
Kazi anayofanya kichuya haionekani...unathink jamaa anajifikiliajeKwa waliopata magar hao wapi uliowana ubinafsi ama uchoyo??
Kila kitu na wakati wake...Kichuya ni fighter sana naamini atapata nayeye siku moja...Kazi anayofanya kichuya haionekani...unathink jamaa anajifikiliaje
Kumbe chura nilikua sijuikumbe ndiyo maana wanaukosa ubingwa misimu 4 sasa
Roho inauma team yetu tukitoa motisha ila wao wakifanya sio tatizoMsuva akiwa Yanga alipewa debe la Mchele na Mashabiki
Niyonzima hivo hivo...
Ajibu juzi kati baada ya game na Mji ...kagera na Stand mashabiki walijichanga wakampa milion moja..
Kipa naye Youth alipata pesa kwa mashabiki mbona haikuharibu timu??
... Walioleta furaha ya wazi kwenye mechi ile ya Simba na Singida ni Kichuya aliyejipinda dakika ya 3 tu ya mchezo na kufunga bao safi kabisa, akifuatiwa na Okwi na Kwasi, kila mtu alishangalia kwa raha hata yule asiyekuweko uwanjani. Mfano, kama Ndemla angecheza vizuri kama alivyoona kiongozi wake wa Simba lakini Simba ikafungwa au kutoa sare na Singida bado hiyo zawadi ya gari angepewa Ndemla? Ni ujiinga tu. Mbona Mapinduzi cup hakutoa zawadi, hakuna mchezaji aliyecheza vizuri mechi zote zile?
Chukua balimi nakuja lipaMkuu, isikusumbue. Hiyo zawadi si kwa sababu ya mechi ya jana pekee, Hanspope aliwaambia wachezaji wote siku za nyuma kuwa atakayecheza vizuri kwa nidhamu nitampa zawadi. Amesema wazi kuwa Ndemla amekuwa akitokea benchi lakini anacheza kwa nidhamu kila akipewa nafasi. Pia amesema jana ilikuwa ni hitimisho la ufuatiliaji wake wa mechi kadhaa