Hapa ndo huwa pananifanya nibakie forever 25!!Ule usemi wa 'fainali uzeeni' ujue unatisha sana
Yaani unapiga picha midevu yenye mvi mpaka puani... Bunduki harijojo..kiuno kimekuwa kigumu kama peremende[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hahhaha[emoji38] umri sio miakaHapa ndo huwa pananifanya nibakie forever 25!!
mungu wangu nisaidie mimi hakyanani!
Nenda Google jifunze kuhusu growing beard using minoxidilHello guys!!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya nyumbani wote wana ndevu.
Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Kuna utofaut kati ya ndevu na uchafu [emoji23]Nimecheka sana.. vumilia na utazichukia mimi nimeota mwiahoni mwa miaka30 na sasahv hata sizitamani
Shukuru MUNGU amekupa kidevu , kuna wengine hawana kidevu kabisa Asa wewe ndevu zinakupa stress haulali hauliHello guys!!
Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?
Asili ya nyumbani wote wana ndevu.
Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Ndio maana nilikwambia nenda Google au YouTube kwa maelezo zaidAsante mkuu nitaleta mrejesho japo hapa kama sijaelewa hivyo vyote hapo nachanganya au natumia kimoja baada ya kingine.
haahaaMaisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitaka
Umetisha mkuuUsiseme kwamba kwenu wote wana ndevu. Inawezekana wewe siyo mtoto wa baba yako.
Hahahahahha!Usiseme kwamba kwenu wote wana ndevu. Inawezekana wewe siyo mtoto wa baba yako.
Maisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitaka
Wakati nimechoka nazo na bado sijafika hata karibu na 30... 😂
Dunia hi bwana; sijui ndio tulivyo umbwa au tamaa zetu? Yaani mtu anatamani kitu cha mtu mwingine, zamani nilikua nawaonea wivu sana watu wanene, sasa hivi nalazimika kufanya sana mazoezi ili nipungueKila siku asubuhi lazima nipigie gitaa kwenye kidevu. Inaniudhi kweli!!!
Inaitwa Ndevu Nyomi/Ndevu MtitiKwa hiyo angalau unataka uwe kama hivi na picha yangu ya zamani. View attachment 1973013
Wape formula[emoji23][emoji23] comments
Mood Jamani🤦. NiombeeWape formula
,😂😂Una ujinga flani hiviAmbia zilale tena na lazima ziote ndoto yoyote hata fupi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]