Ndevu zimegoma kuota

Ndevu zimegoma kuota

Ule usemi wa 'fainali uzeeni' ujue unatisha sana
Yaani unapiga picha midevu yenye mvi mpaka puani... Bunduki harijojo..kiuno kimekuwa kigumu kama peremende[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hapa ndo huwa pananifanya nibakie forever 25!!
mungu wangu nisaidie mimi hakyanani!
 
Hello guys!!

Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?

Asili ya nyumbani wote wana ndevu.

Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Nenda Google jifunze kuhusu growing beard using minoxidil

Itafute huko huko Google hapa Tanzania kuna raia wanauza

Nunua Anza tumia, zama YouTube utajifunza jinsi ya kutumia

Hakikisha una hivi vitu (you are ready to go)

1. minoxidil
2. Dermaroller
3. Castrol oil , peppermint essentially oil+ jojoba oil

Haya mafuta zama Google au YouTube jifunze namna ya kuyamix, yote unapata hapa hapa nchini

Baada ya miez sita au mwaka mmoja rud hapa, utakua na ndevu kama Rick Roz.. hawa wanao kunanga hapa hakuna hata mmoja atakae kufika walau nusu

Uvumilivu wako + consistency yako utajishangaa ndugu , kutokua na ndevu n uamuz wako not about the genes anymore
 
1. minoxidil
2. Dermaroller
3. Castrol oil , peppermint essentially oil+ jojoba oil
Asante mkuu nitaleta mrejesho japo hapa kama sijaelewa hivyo vyote hapo nachanganya au natumia kimoja baada ya kingine.
 
Hello guys!!

Hii kitu kwangu imeshakuwa serious sasa. Muonekano wangu na umri naona kama haviendani. Hv kipi kinasababisha wengine ndevu kuchelewa kuota? Hakuna jinsi naweza fanya ziote?

Asili ya nyumbani wote wana ndevu.

Mtu nakaribia 30 lakini bado naonekana mtoto sana.
Bt si kwamba nakimbilia ukubwa. Ila muonekano na umri viendane.
Shukuru MUNGU amekupa kidevu , kuna wengine hawana kidevu kabisa Asa wewe ndevu zinakupa stress haulali hauli
 
Asante mkuu nitaleta mrejesho japo hapa kama sijaelewa hivyo vyote hapo nachanganya au natumia kimoja baada ya kingine.
Ndio maana nilikwambia nenda Google au YouTube kwa maelezo zaid
 
Kwa hiyo angalau unataka uwe kama hivi na picha yangu ya zamani.
IMG_20200229_210456_6~2_1.jpg
 
Maisha haya basi tu.. Natafuta dawa ya kudhibiti ndevu mwingine anazitaka
Wakati nimechoka nazo na bado sijafika hata karibu na 30... 😂
Kila siku asubuhi lazima nipigie gitaa kwenye kidevu. Inaniudhi kweli!!!
Dunia hi bwana; sijui ndio tulivyo umbwa au tamaa zetu? Yaani mtu anatamani kitu cha mtu mwingine, zamani nilikua nawaonea wivu sana watu wanene, sasa hivi nalazimika kufanya sana mazoezi ili nipungue
 
Ambia zilale tena na lazima ziote ndoto yoyote hata fupi tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom