FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Dena umeonaeee?mwita sijui anamwendea wapi babu wacha nami nipande mlimani kumuombea babu dhidi ya mwita
Anaharibu taimingi za watu huyu...
WL hata wewe huna imani na mimi??
Au kwakuwa nimekwambia ukweli wa "my sweetheart wako"? mimi nilitoa kama angalizo tu, na hii yote ni kwa sababu ya upendo wa dhati nilionao kwako, sipendi kuona unaharibikiwa mambo yako.
Nwakaumbusha ni Lunch time sasa tunaoenda kwa mama lishe mie natangulia ...
Hapo kny red sikuomba ushauri bali nilikabidhiwa na nikampenda,,yeye pia ananipenda ila nataka babu anikabidhi upya maana huu ni mwaka mpya
Acha kuniangusha bana mara moja inatosha
Aiya iya iyaya, unataka ukabidhiwe upya?
Hakuna mapenzi ya dhati hapo mnafanya biashara, ikileta faida ndo uhai wa penzi lenu lakini ikileta loss mwisho wenu ndo utakuwa umefika.
Hapo kny red najua sana na zaidi sana najua unaniombea,,,imani kwako haina kipimo nilitaka tu kumtoa hofu babu,,vinginevyo unasubiriwa huku :smile-big:
Natangaza rasmi sitaki kamwe kukabidhiwa upya nilikuwa napima imani ya babu.:smile-big:
wapi tena huko nije fasta.
Hivi huyo asprin ni kibabu kweli au?
Nimeamka.....
Hivi mnazungumzia nini hapa? Na yule aliyemuudhi babu bado yumo? Kama yumo mwambieni amwombe babu msamaha kabla haja RIP.
Nimeamka.....
Hivi mnazungumzia nini hapa? Na yule aliyemuudhi babu bado yumo? Kama yumo mwambieni amwombe babu msamaha kabla haja RIP.
Babu yangu fildmasho a.k.a odiem nilishakuomba msamaha lkn narudia
Babu nimekosa,tena nimekosa sana,naomba ufute machozi asante kwa kutoka kitandani(PM)
naomba ukae nasi siku zote nitakupenda na kukuheshimu.Smile for me now:smile-big: