Ndg Asprin

Ndg Asprin

Nwakaumbusha ni Lunch time sasa tunaoenda kwa mama lishe mie natangulia ...
 
Dena umeonaeee?mwita sijui anamwendea wapi babu wacha nami nipande mlimani kumuombea babu dhidi ya mwita

WL hata wewe huna imani na mimi??

Au kwakuwa nimekwambia ukweli wa "my sweetheart wako"? mimi nilitoa kama angalizo tu, na hii yote ni kwa sababu ya upendo wa dhati nilionao kwako, sipendi kuona unaharibikiwa mambo yako.
 
Anaharibu taimingi za watu huyu...

Kiongozi kwani imekuwaje tena? kuna mahai nimekuharibia timing? am sore, lakini unapaswa kuniambiaga mapema nisikuharibie, si umeona babu kila nikigusa anga zake anatoa warning.
 
WL hata wewe huna imani na mimi??

Au kwakuwa nimekwambia ukweli wa "my sweetheart wako"? mimi nilitoa kama angalizo tu, na hii yote ni kwa sababu ya upendo wa dhati nilionao kwako, sipendi kuona unaharibikiwa mambo yako.

Hapo kny red najua sana na zaidi sana najua unaniombea,,,imani kwako haina kipimo nilitaka tu kumtoa hofu babu,,vinginevyo unasubiriwa huku :smile-big:
 
Nwakaumbusha ni Lunch time sasa tunaoenda kwa mama lishe mie natangulia ...

Ahsante time keeper kwa kutukubusha.

Shemeji yangu DA, FL1, st.RR na wengineo, karibuni Saffron Restaurant(jengo la fisadi papa a.k.a Quality Plaza) tupate lunch.
 
Hii thread bado inaendelea?? Kama imechakachuliwa vile
 
Hapo kny red sikuomba ushauri bali nilikabidhiwa na nikampenda,,yeye pia ananipenda ila nataka babu anikabidhi upya maana huu ni mwaka mpya

Aiya iya iyaya, unataka ukabidhiwe upya?

Hakuna mapenzi ya dhati hapo mnafanya biashara, ikileta faida ndo uhai wa penzi lenu lakini ikileta loss mwisho wenu ndo utakuwa umefika.
 
Natangaza rasmi sitaki kamwe kukabidhiwa upya nilikuwa napima imani ya babu.:smile-big:
 
hapo sasa umenena, ila siku nyingine usimpime imani babu yako kihivyo. Machozi yakimtoka gharama yake ni kubwa kiasi kwamba huwezi kuilipa.
 
Nimeamka.....

Hivi mnazungumzia nini hapa? Na yule aliyemuudhi babu bado yumo? Kama yumo mwambieni amwombe babu msamaha kabla haja RIP.
 
Babu yangu fildmasho a.k.a odiem nilishakuomba msamaha lkn narudia

Babu nimekosa,tena nimekosa sana,naomba ufute machozi asante kwa kutoka kitandani(PM)
naomba ukae nasi siku zote nitakupenda na kukuheshimu.Smile for me now:smile-big:
 
Hero_runs.gif

babu ulikuwa umelala wapi mchana huu?
 
Babu yangu fildmasho a.k.a odiem nilishakuomba msamaha lkn narudia

Babu nimekosa,tena nimekosa sana,naomba ufute machozi asante kwa kutoka kitandani(PM)
naomba ukae nasi siku zote nitakupenda na kukuheshimu.Smile for me now:smile-big:

Babu is SO SO SO VERY HAPPY. Sogea hapa mjukuu nikushum!
 
Back
Top Bottom