Ndg zangu wahaya hii nyimbo "Bakunyimenyeite(Tetemesha)" ya mwanadada Saida karoli Huwa inamaana Gani ?

Nikifa MkeWangu Asiolewe

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2024
Posts
6,944
Reaction score
14,351
Mficha uchi hazai/mificha maradhi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga.

Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati.

Nyimbo hii Ina vibe sana.Lakini binafisi sijawahi ielewa maana yake huyu mwanadada alimaanisha kutoa funzo Gani kwenye jamii ? Ni nyimbo nzuri Kwa upande wangu kati ya nyimbo za kitamaduni.

Naomba kujurishwa Nini maana ya wimbo huu. Wahaya karibuni.
 
Mficha uchi hazai/mificha malazi kifo kitamuumbua na kuuliza siku zote sio ujinga.

Hii nyimbo Ina miaka kadhaa Sasa lakini Kila ninapo zungukia kwenye sherehe hasa kijijini haijarishi iwe Kwa wasukuma ama makabila mengine huku Kanda ya Ziwa nyimbo hii Bado Iko kwenye chati.

Nyimbo hii Ina vibe sana.Lakini binafisi sijawahi ielewa maana yake huyu mwanadada alimaanisha kutoa funzo Gani kwenye jamii ? Ni nyimbo nzuri Kwa upande wangu kati ya nyimbo za kitamaduni.

Naomba kujurishwa Nini maana ya wimbo huu. Wahaya karibuni.
View attachment 3210188
...Ni mficha MARADHI SIO MALAZI... [emoji846]
 
Ni wimbo sio nyimbo, kwa tafsiri ya haraka maana yake ni nikinyimwa kuwa na wewe( Bakunyime) najiua( nyeite) .Hivyo ni wimbo wenye maudhui ya mapenzi

Ahsantee mkuu
 
Bakunyime nnyeite - nizuiwe kuwa na wewe nijiue. (Mwimbaji, ambaye Saida aliimba kama nafsi ya kiume it seems anataka kumchumbia binti ila ana wasiwasi nyumbani kwa wakwe watamkatalia hivyo anadai atajiua)

Bakusheleke ninkwiba - wakufiche nakuiba (kama mbadala, endapo watamficha huyo binti basi kijana atamuiba)
Maneno yamewekwa namna hiyo kurahisisha uimbaji, tafsiri yake kwa Kiswahili haiwezi kunyooka.
Ni kama uambiwe tafsiri mashairi haya kwa Kiingereza "Ukisia paah! ujue imekukosa, aliyelenga hana shabaha amefanya makosa"
Huwezi toa maana sahihi 100%

Sehemu nyingine hajajaza mashairi, ni wimbo wa vibe. Huwa ana mashairi deep akiamua, tafuta wimbo kama Baba Tajiri huu wa Kiswahili.
 
Bakusheleke ninkwiba - wakufiche nakuiba (kama mbadala, endapo watakficha huyo binti basi kijana atamuiba)
Maneno yamewekwa namna hiyo kurahisisha uimbaji, tafsiri yake kwa Kiswahili haiwezi kunyoka.
Ni kama uambiwe tafsiri mashairi haya kwa Kiingereza "Ukisia paah! ujue imekukosa, aliyelenga hana shabaha amefanya makosa"
Huwezi toa maana sahihi 100%

Sehemu nyingine hajajaza mashairi, ni wimbo wa vibe. Huwa ana mashairi deep akiamua, tafuta wimbo kama Baba Tajiri huu wa Kiswahili.
Umechambua vyema sana Kyoma, uko deep kwenye hiyo lugha
 
Bakunyime nnyeite - nizuiwe kuwa na wewe nijiue. (Mwimbaji, ambaye Saida aliimba kama nafsi ya kiume it seems anataka kumchumbia binti ila ana wasiwasi nyumbani kwa wakwe watamkatalia hivyo anadai atajiua)

Bakusheleke ninkwiba - wakufiche nakuiba (kama mbadala, endapo watamficha huyo binti basi kijana atamuiba)
Maneno yamewekwa namna hiyo kurahisisha uimbaji, tafsiri yake kwa Kiswahili haiwezi kunyooka.
Ni kama uambiwe tafsiri mashairi haya kwa Kiingereza "Ukisia paah! ujue imekukosa, aliyelenga hana shabaha amefanya makosa"
Huwezi toa maana sahihi 100%

Sehemu nyingine hajajaza mashairi, ni wimbo wa vibe. Huwa ana mashairi deep akiamua, tafuta wimbo kama Baba Tajiri huu wa Kiswahili.
Hakika nimeelewa vyema sana. Ahsantee mno
 
Umechambua vyema sana Kyoma, uko deep kwenye hiyo lugha
Sipo deep kwenye kuzungumza ila kwenye kuandika nilikuwa nachukulia serious nafundishwa na wazee fulani akihusika pia babu yangu.

Kote nchini kuna historia inapotezwa hivihivi sababu ya uvivu wa kuitunza. Kina Prof. Israel Katoke walifanya dedication kubwa kuweka baadhi ya mambo kwenye maandishi.
 
Shumalamu waitu
Wakolaw waitu,omukama akyembembele
 
Sawa nitakupa tafsiri Kwa kutumia semantic.

Bakunyime nyeite , wakininyima nafasi ya Kuwa na wewe nitajiua .

Bakushereke ninkuiba ( wakikuficha Mimi nitakuiba .

Msanii saida karoli nyimbo yake inahusu mapenzi dhidi ya mwanamke ambaye ametokea kumpenda Sana hivyo yupo tayari kutumia njia mbali mbali ili kuhakikisha anampata huyo mwanamke.
 
Kibao kizuri sana
 
Back
Top Bottom