Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Weka ushahidi wa picha mkuuMsikiti umefungwa vipaza sauti SITA halafu juu kabisa hii ni sawa jamani?
umesahau na sumu ya panya, mashati na madelaHii dunia kila kitu ni kuvumiliana kero zipo nyingi sana tukisema tuanze kuzitaja hapa jukwaa hili lita-stuck,kero za kuongozwa na ccm kero za kelele bar horn za magari barabarani ni nyingi vumilia tu.
Subiri waje, si unawajua lakiniNdg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka?
Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna?
Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana hatuielewi kabisa.
Naheshimu Imani yenu ila Adhana ni kero sana.
Umewahi kusikia wakipiga kelele saa11 asubuhi?umesahau na sumu ya panya, mashati na madela
Mbna baadhi ya makanisa yanafanya hivyo nifull kuimba usiku mzima, naukipanga namtu anaemin mapepo amlali humo ndaniHilo jambo tungekuwa tunafanya wakristu nchi isingetawalika
Yani amani ya kidini ya nchi tunayo wakristuaana hawa wenzetu ni washari sana
Kuna siku mbagala ilizuka story ya mtoto kukojolea msahafu,waislam wakaanza kuharibu makanisa.Bila busara ya wakristu siku ile kungetokea mambo mazito mnoooo