Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Miji ichangamke msizubaezubae kama mnaanua tanga.Wamachinga wanafunga vipaza sauti, vigrocery,bar mitaani ni kelele tu uswahili ni mwingi.
Miji ichangamke msizubaezubae kama mnaanua tanga.Wamachinga wanafunga vipaza sauti, vigrocery,bar mitaani ni kelele tu uswahili ni mwingi.
Mpewe kiwango cha sauti kinachoruhusiwa kwa kipimo cha dezibeli pia mpewe muda ambao wote mtaanza kwa pamoja na kumaliza kwa pamoja.Hayo maneno "regulated" na "decibels" Mimi kama ustaadh hapa madrasatul Hidaya sijaelewa unamaanisha nini muungwana!?
Makanisa ya walokole huwa yana piga vinanda hadi saa 10 za usiku mbona wanavumiliwaHilo jambo tungekuwa tunafanya wakristu nchi isingetawalika
Yani amani ya kidini ya nchi tunayo wakristuaana hawa wenzetu ni washari sana
Kuna siku mbagala ilizuka story ya mtoto kukojolea msahafu,waislam wakaanza kuharibu makanisa.Bila busara ya wakristu siku ile kungetokea mambo mazito mnoooo
Nashukuru ndugu Mlay.Tumeleta fomu ya kuomba mchango hapo nyumbani kwako.Tunataka tuwanunulie saa zenye alarms maswahaba wetu hapa masjid ili tuache kutoa adhana kwa sauti zenye kero kwenu.Tuunge mkono muungwana.Mpewe kiwango cha sauti kinachoruhusiwa kwa kipimo cha dezibeli pia mpewe muda ambao wote mtaanza kwa pamoja na kumaliza kwa pamoja.
Hii itasaidia kutokusumbua watu
Sauti ya kinanda utaufananisha na adhana? Tena wengine wanaendelea hata baada ya adhana kuanza kuwatishia watu shuka zao ni sawa na sana na walipolala ni sawa na kitanda cha maiti.Makanisa ya walokole huwa yana piga vinanda hadi saa 10 za usiku mbona wanavumiliwa
Unajuwa walokole wewe, Ala zote za mziki wanazo na kuimba juu adana ni kitendo cha dakika 5Sauti ya kinanda utaufananisha na adhana? Tena wengine wanaendelea hata baada ya adhana kuanza kuwatishia watu shuka zao ni sawa na sana na walipolala ni sawa na kitanda cha maiti.
Sisi tulioishi Uarabuni tunajua huwezi kusikia hizi sauti za kupayuka na kupishana kwa adhana. Wanaanza kwa pamoja na kumaliza kwa pamoja.Nashukuru ndugu Mlay.Tumeleta fomu ya kuomba mchango hapo nyumbani kwako.Tunataka tuwanunulie saa zenye alarms maswahaba wetu hapa masjid ili tuache kutoa adhana kwa sauti zenye kero kwenu.Tuunge mkono muungwana.
Nikiwa muislam naelewa concern Yako ni kweli Kuna wale wanaongeza maneno nk ni jambo zito ngoja tulijadiliNdg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka?
Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna?
Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana hatuielewi kabisa.
Naheshimu Imani yenu ila Adhana ni kero sana.
Hujakutana na makanisa kila robo saa ni mwendo wa kengele tuNdg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka?
Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna?
Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana hatuielewi kabisa.
Naheshimu Imani yenu ila Adhana ni kero sana.
Mkuu sisi wakristu tuna kengele kanisani zikipigwa zile lazima uamke ile sa 12 asubuhi.Ndg zetu waislamu bila adhna asubuhi hamuwezi kuamka na kuswali au hata Ile mida y mchana kwamba Hadi mkumbushwe miaka na miaka?
Yaani hata kuweka alarm ya kuwaamsha kwamba muda wa swalaa umefika mkaswali ni hamna?
Mkumbuke hata Ile lugha mnayotumia wengi wetu ni sawa na kelele tu maana hatuielewi kabisa.
Naheshimu Imani yenu ila Adhana ni kero sana.
Wakristo mnafanya mengi saana sasa ww unakojorea msahafu ili iweje na unajua fika italeta tension, ni sawa na kuendesha wrong lane na unatarajia hamna ajar kila mtu akifanya yakwake bila kuingilia ya mwingine aman inakuwepoHilo jambo tungekuwa tunafanya wakristu nchi isingetawalika
Yani amani ya kidini ya nchi tunayo wakristuaana hawa wenzetu ni washari sana
Kuna siku mbagala ilizuka story ya mtoto kukojolea msahafu,waislam wakaanza kuharibu makanisa.Bila busara ya wakristu siku ile kungetokea mambo mazito mnoooo
Wanakimbia wapi na nasikia nao kuna wengine wapo majini wana ingia humo humo.😀 😀Kweli sasa nimeamini mashetani wa kibinadamu wapo.
Ile adhana inaposomwa mashetani huwa wanakimbia mbali sana Yan hawataki kuiskia ile sauti,sasa nilipoona na wewe
mtoa mada eti makelele yoote ya miziki,magari,bodaboda nk hazijakukera ila imekukera ya adhana nimeishia kucheka😀😀