Ndg zetu waislamu kwani Adhana ni lazima?

Makanisa ya walokole huwa yana piga vinanda hadi saa 10 za usiku mbona wanavumiliwa
 
Mpewe kiwango cha sauti kinachoruhusiwa kwa kipimo cha dezibeli pia mpewe muda ambao wote mtaanza kwa pamoja na kumaliza kwa pamoja.
Hii itasaidia kutokusumbua watu
Nashukuru ndugu Mlay.Tumeleta fomu ya kuomba mchango hapo nyumbani kwako.Tunataka tuwanunulie saa zenye alarms maswahaba wetu hapa masjid ili tuache kutoa adhana kwa sauti zenye kero kwenu.Tuunge mkono muungwana.
 
Makanisa ya walokole huwa yana piga vinanda hadi saa 10 za usiku mbona wanavumiliwa
Sauti ya kinanda utaufananisha na adhana? Tena wengine wanaendelea hata baada ya adhana kuanza kuwatishia watu shuka zao ni sawa na sana na walipolala ni sawa na kitanda cha maiti.
 
Waache mawaidha ya kutishana asubuh una ambiwa kitanda chako ndio kaburi, shuka yako ndio sanda πŸ₯ΊπŸ₯Ί usingizi unakata
 
Sauti ya kinanda utaufananisha na adhana? Tena wengine wanaendelea hata baada ya adhana kuanza kuwatishia watu shuka zao ni sawa na sana na walipolala ni sawa na kitanda cha maiti.
Unajuwa walokole wewe, Ala zote za mziki wanazo na kuimba juu adana ni kitendo cha dakika 5
 
Nashukuru ndugu Mlay.Tumeleta fomu ya kuomba mchango hapo nyumbani kwako.Tunataka tuwanunulie saa zenye alarms maswahaba wetu hapa masjid ili tuache kutoa adhana kwa sauti zenye kero kwenu.Tuunge mkono muungwana.
Sisi tulioishi Uarabuni tunajua huwezi kusikia hizi sauti za kupayuka na kupishana kwa adhana. Wanaanza kwa pamoja na kumaliza kwa pamoja.
Ni wakati Serikali kuliangalia hilo kama alivyowahi kupendekeza RC wa Dar wakati huo Meja Jeneral Mstaafu
 
Nikiwa muislam naelewa concern Yako ni kweli Kuna wale wanaongeza maneno nk ni jambo zito ngoja tulijadili
 
Hujakutana na makanisa kila robo saa ni mwendo wa kengele tu
 
Mkuu sisi wakristu tuna kengele kanisani zikipigwa zile lazima uamke ile sa 12 asubuhi.
 
Wakristo mnafanya mengi saana sasa ww unakojorea msahafu ili iweje na unajua fika italeta tension, ni sawa na kuendesha wrong lane na unatarajia hamna ajar kila mtu akifanya yakwake bila kuingilia ya mwingine aman inakuwepo
 
Wanakimbia wapi na nasikia nao kuna wengine wapo majini wana ingia humo humo.
 

Wavaa kobazi njooni huku mtoe sadaka wachangishaji wapo temeke nzima watoe vipaza sauti kila kituo huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…