NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Live band tamu sana,.huyu dada anaweza sana, kwa wanaojua muziki wataniunga mkono.
 
Kanifurahisha hapa."kwani kuolewa ni jambo la ajabu.kwani kuolewa ni utumwa.mi nimechokaaaaaa"komando
 
Situmii mkuu,asante.
Sawa ila ukipata ugonjwa unaoitwa lugumi hii ndio tiba yake kitwanga mbili jioni na asubuhi baada ya hapo we endelea na mishe zako hata bungeni ingia tu
 
Pamoja na yotee hii show beeef la ndoa limeplay party kubwa kuhamasisha watu kujitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…