Mwanabalagha
Senior Member
- Nov 11, 2015
- 196
- 235
Sidhani kama glis itasaidia....labda akifunge mota ya feni.Hiki kiuno cha jidee inabidi apake gliss au mafuta ya cherehani
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] eti mota ila uzuri mwenyewe alishasemaga sio mzuri kwenye kuchezaSidhani kama glis itasaidia....labda akifunge mota ya feni.
Uwiiiiiii nishasahau ujue?nifah kesho FA
Uwiiiiiii nishasahau ujue?
Tuombe kheri tusitoke watupu msimu huu.
Sheta katokea wapi tena hiki kizazi cha south africa
Mlioko huko hata picha jamani?
Khaa, mkuu kulea ndoa na kulea watoto wachanga mapacha, ipi kazi zaidi? Maana dizain naona kama ndoa inakutesa, yani mpaka ulinde wife aotke ndio mbebane home?Mi nitapiga zangu kilaji pale Katalunya, ikiisha namchukuwa wife tunaondoka zetu.
Anakumiss mbaya...Wow ndi ndi ndi
Jide kweli Komando....
naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa
Sasa kwenye gazeti wataweka nini kama nyenzo mmeacha mlangoni?Hawarusu kupiga picha. Tuliokuwa humu wote siku tumeacha mlangoni. We subiri uone kwenye gazeti kesho.
Abiria chunga mzigo wako.Khaa, mkuu kulea ndoa na kulea watoto wachanga mapacha, ipi kazi zaidi? Maana dizain naona kama ndoa inakutesa, yani mpaka ulinde wife aotke ndio mbebane home?
naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa
Unataka afukuzwe kazi?naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa