NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Mi nitapiga zangu kilaji pale Katalunya, ikiisha namchukuwa wife tunaondoka zetu.
Khaa, mkuu kulea ndoa na kulea watoto wachanga mapacha, ipi kazi zaidi? Maana dizain naona kama ndoa inakutesa, yani mpaka ulinde wife aotke ndio mbebane home?
 
naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa
 
[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42] kusubiri Muda mfupi unazidi kusogea
 
naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa

Au anaona si mapya? [emoji3]
 
Aya wamerudi tena uwanja wa taifa hadi sasa jidee anaongoza goli 2 kwa bila
 
naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa

Yule nae hajielewi... Kwani Ayo online ina mahusiano gani na muajiri wake?
 
naona nguvu ya uma wamevamia kwa millard ayo kwann hapeleki update za mliman city full watu kulalamikaa sana mambo ya south africa anatuletea na anaenda hapa hapa anashindwa nam kaniboa
Unataka afukuzwe kazi?
 
Back
Top Bottom