NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Hata wasipo mpost jide atazidi kukimbiza tuuu....
 
Huu wimbo wa machozi uko soooo emotional sana.
Dah!
[emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji25]
 
Msanii asiye na mbwembwe kibongobongo ni Fid Q tu.

haha huyu jamaa kuna siku mitaa ya Jacky's mvua ilikuwa imenyesha akajigalaza kwenye kidimbwi cha maji kwa mizuka tu huku akionyesha passport yake ndio alikuwa katoka kuichukua,hayuko hivyo unavyomzungumzia hapa
 
Hivi jaman mlioko eneo la tukio ndo mmefeli kabisa kutupia vipicha humu??
 
Jide ni mama wa ku take advantage.Akizinguliwa tu anakimbilia show.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…