HOPECOMFORT
JF-Expert Member
- Feb 25, 2012
- 3,921
- 6,646
Show mbona imepooza hivi utafikiri anaumwa tunataka mauno hayo...bwana angekuwa mama wa chura mpangekuwa hapatoshi.
Imepooza na bado upo hapa!?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Show mbona imepooza hivi utafikiri anaumwa tunataka mauno hayo...bwana angekuwa mama wa chura mpangekuwa hapatoshi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mridhishe wifey bwana.mambo naona moto my wife ananiforce tukacheze wimbo wa siri yangu afu ninaona aibu kinoma
wee weee ole wako ntakupiga chupa ya kichwa.... alaaahMi nipo kwa nyuma huku nimevaa shati jekundu. Kama vipi nikusaidie. Tunachanga Tu mkuu
Mimi napenda shows smart kama hizi!Show mbona imepooza hivi utafikiri anaumwa tunataka mauno hayo...bwana angekuwa mama wa chura mpangekuwa hapatoshi.
HakikaAiseee Jide fundi....
nmekusamehe lakn sitakusahau
Msanii asiye na mbwembwe kibongobongo ni Fid Q tu.
nipo tungi kinoma sasa nisijenikacheza kwaito wimbo wa ndindindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mridhishe wifey bwana.
hawa wapo kweli alikiba yupo south kwanzaaJokate yuko wapiView attachment 349475
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaliyo pita si ndwele tugange yajayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nipo tungi kinoma sasa nisijenikacheza kwaito wimbo wa ndindindi