NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

Mbona kama kuna watu wamepaniki hivi,mara shoo itakuwa mbaya mara upotevu wa hela.ikiisha hii mwambieni gadna afanye na yy shoo yake tuone nani zaidi
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Hajiitambui tu. Jide alipaswa kuwa malkia wa Africa kwa sasa. Hata kina Yemi Alade wangekuwa wanasubiri.

Sijui kama unaujua muziki vyema... Mama afrika alikuwa ni miriam makeba na hakupewa buree ilo jina

Kuna vichwa kama yvonne chakachaka, angelique kidjo ,mbilia bel na bado hawajapewa hiyo title

Kuwa mama afrika sio mchezo
 
Si alimsimdikiza baby jamani?
[emoji39] [emoji39]
Unafikiri B dozen au Babra hassan anaweza kumsindikiza baby wake kwenye show ya Jide? Unafikiri wana uhuru huo?
 
Kusema kweli Jide ana sauti! Mwanzo mpaka mwisho.
 
Unafikiri B dozen au Babra hassan anaweza kumsindikiza baby wake kwenye show ya Jide? Unafikiri wana uhuru huo?

Ila jana waliipata fresh......wanataka waabudiwe wao Mungu?! Ajira gani mtu unabanwa hata kwenye maswala binafsi!!! Aibu yao.
 
Aisee watu mna moyo... Yani mlikesha tizama taarabu hizo. HONGERENI.
 
Wanaosema wanawake hatupendani nadhani mmepata jibu.... Show ilibamba
 
Mi alinifurahisha alipoimba ile mistari ya Jay kwenye joto hasira na kwa bahati mbaya jirani mwenye Tv akazima pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…