MjuviKitambo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 711 Reaction score 811 May 21, 2016 #461 Siledi hii nimesoma komenti zoooote mwanzo mwisho! Nampenda huyu Jay Dee balaa,
kilimbamula JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 1,792 Reaction score 853 May 21, 2016 #462 Habari na Diamond na Kiba hawa wengine wapo kusindikiza wanamuziki. Ni mapambano ya utangulizi maana baada ya hii shughuli anaingia kapuni.
Habari na Diamond na Kiba hawa wengine wapo kusindikiza wanamuziki. Ni mapambano ya utangulizi maana baada ya hii shughuli anaingia kapuni.
HOPECOMFORT JF-Expert Member Joined Feb 25, 2012 Posts 3,921 Reaction score 6,646 May 21, 2016 #463 kilimbamula said: Habari na Diamond na Kiba hawa wengine wapo kusindikiza wanamuziki. Ni mapambano ya utangulizi maana baada ya hii shughuli anaingia kapuni. Click to expand... Ebu soma tena ulicho andika
kilimbamula said: Habari na Diamond na Kiba hawa wengine wapo kusindikiza wanamuziki. Ni mapambano ya utangulizi maana baada ya hii shughuli anaingia kapuni. Click to expand... Ebu soma tena ulicho andika
sister JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 9,014 Reaction score 6,847 May 21, 2016 #464 Papushikashi said: Kwenda zako wewe... Shabiki wa kukojoza Click to expand... Ungemalizia kukojoa upepo.
Papushikashi said: Kwenda zako wewe... Shabiki wa kukojoza Click to expand... Ungemalizia kukojoa upepo.
gwa myetu JF-Expert Member Joined Aug 18, 2014 Posts 4,473 Reaction score 4,666 May 21, 2016 Thread starter #465 Asante jide kwa kutukojoza jana
Victor wa happy JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 11,660 Reaction score 11,654 May 21, 2016 #466 Perfume la jide lilinisisimua sana jana ananukia kama malaika nilitaka nimpe mkono FBI wakanizinga But nime enjoy sana jana, music halisi sio kelele
Perfume la jide lilinisisimua sana jana ananukia kama malaika nilitaka nimpe mkono FBI wakanizinga But nime enjoy sana jana, music halisi sio kelele