NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

NDI NDI NDI CONCERT : Updates from Mlimani City

amerudi leo kutoka south bhas na wema kweli yupo
 
Hayo masaa matatu hayajaisha tu au anafidia ile half time,,??
 
ila alikiba mifukon anapenda kuweka vitu mfukon vinajaa sana
 
kuna jamaa mnene kavaa suti nyeuc anacheza mwanzo mwisho hadi kiba anaongea masuala ya sonic bado tu anacheza
 
Back
Top Bottom