Ndinga jipya la Diamond Platnumz Cruiser 200 series 2018

Acha ale maisha...
Ukiacha mapungufu ambayo kimsingi kila mwenye pumzi anayo, jamaa ana roho nzuri sana.
He deserves this, by the way muungurumo wa hicho chuma ni zaidi ya mvumo wa radi!
Ukiweka youtube views milioni fasta ndani ya 24hrs.
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Gari la kawida wakati ukipiga mahesabu mpaka linafika hapa Tanzania ni zaidi ya milion 220+ au ww unalo zaidi ya hili.
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
"Watu wana magari",ngonjera nyingi si useme mimi sina,alafu gari si kibamia useme hakionekani kwa watu ,hata usiposema tutajua tu kama lako au si lako.
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Dogo hajajionesha ila hao wanaopimp ndinga ndio wamesema ikiwa ni part yao ya matangazo hata hivyo huwezi sema 220+ ni hela ndogo asee usilete za Tibaijuka
 
Hakuna gari ninazo zikubati kama land cruisers..mashine
 
Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Watu kama nyinyi mkiambiwa bakresa ana peasa huwa mnasema hana kitu ana pesa ya kawaida tu.
 
Haina tofauti labda ww macho yako mabovu ,hapo hao jamaa wamei-pimp lkn ndio ile ile
View attachment 777546
Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...
Pia utofauti angalia hizo guards za pembeni kwenye mataili ya 18 haina.

Msitake kutulisha matango pori
 
Bhakhresa ni next level na wala siyo wa kutolea mfano na hawa wenye magari ya kibunge yanayotumika kuwabandua akina sepetunga na mobetotunga.

Back
Top Bottom