joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Gari la kawida wakati ukipiga mahesabu mpaka linafika hapa Tanzania ni zaidi ya milion 220+ au wewe unalo zaidi ya hili.Gari ya kawaida sana hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari la kawida wakati ukipiga mahesabu mpaka linafika hapa Tanzania ni zaidi ya milion 220+ au wewe unalo zaidi ya hili.Gari ya kawaida sana hiyo.
labda anavaa miwani amabayo lens imekwisha hahahaHaina tofauti labda ww macho yako mabovu ,hapo hao jamaa wamei-pimp lkn ndio ile ile
View attachment 777546
Gari la kawida wakati ukipiga mahesabu mpaka linafika hapa Tanzania ni zaidi ya milion 220+ au ww unalo zaidi ya hili.
dola 84315Ina uzwa shngapi i gari???
"Watu wana magari",ngonjera nyingi si useme mimi sina,alafu gari si kibamia useme hakionekani kwa watu ,hata usiposema tutajua tu kama lako au si lako.Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Dogo hajajionesha ila hao wanaopimp ndinga ndio wamesema ikiwa ni part yao ya matangazo hata hivyo huwezi sema 220+ ni hela ndogo asee usilete za TibaijukaSasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Watu kama nyinyi mkiambiwa bakresa ana peasa huwa mnasema hana kitu ana pesa ya kawaida tu.Sasa unaongelea hiyo 220+ ndio unaona kiasi kikubwa mno.!? Watu wana magari mzee baba we acha tu, ama unataka kila mtu ajionyeshe kama huyo dogo? Iko hiv ata elfu moja kwa mwingine ni nyingi sana na kwa mwingine ni chache mno hivyo hivyo katika pesa hiyo uliyo andika hapo.
Mkuu mtu hawezi toa 350mil kununua gari afu aipeleke kupigwa rangi.... Kumbuka rangi inayokuja nayo gari mpya inakua na warrant...Haina tofauti labda ww macho yako mabovu ,hapo hao jamaa wamei-pimp lkn ndio ile ile
View attachment 777546
Watu kama nyinyi mkiambiwa bakresa ana peasa huwa mnasema hana kitu ana pesa ya kawaida tu.
Kuna mtoto kwenye uzi flani alikuwa anapeana moyo na mwenzie wanunue Toyota Ractis eti kana speed zaidi ya Land Cruiser!..Hakuna gari ninazo zikubati kama land cruisers..mashine