Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

Akinunua Kama hii nakunya njia nzima kutoka Huku kwetu mtimbila ifakara hadi sokoni kariakoo daslamu
hahaaa ukiwa na Gari kama hiyo ..huna Baja tena na pepo ..ya kazi gani sasa kwa mfano ...!?? ili ukagundue nini ??
 
[emoji2][emoji2][emoji2] aisee
 
Hahaha huoni ndinga hio? Si mchezo bwana ..utashindana wapi na samata bwana japo hawez kushindana na akina alexis sanchez lakin milioni 50+ kwa mwezi sio haba bwana kwa miaka 2 hapo ana 1 Bilion na ushee
Toa na makato ya kodi hapo
 
That is not a property it is a liability,ningeona kitu real estate,mall hivi,ma apartments kisasa ya kutisha,hapo tungesema shikamoo samatta!!,
Hebu google hili jina la Mkenya Jimmy wanjigi,huone utajiri wake IPO wapi,mambo ni ardgi ,real estate,hata Mzee wa "shithole" kule USA,kawekeza hapo Real Estates
 
Sifa za magari, nyumba, wanawake, pombe, nk Zina kawaida ya kulevya na kupunguza ufanisi kazini. Tukimsifia kwenye uchezaji, ufungaji magoli, assists, nk tutamsaidia zaidi kuendelea kufanya anachokifanya kwa ufanisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…