Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata mimi ..maana nilikuja mbio kweli yaaniNlijua hiiView attachment 699105
hahaaa ukiwa na Gari kama hiyo ..huna Baja tena na pepo ..ya kazi gani sasa kwa mfano ...!?? ili ukagundue nini ??Akinunua Kama hii nakunya njia nzima kutoka Huku kwetu mtimbila ifakara hadi sokoni kariakoo daslamu
[emoji2][emoji2][emoji2] aiseeMi namiliki Kama Hiyo ila version ya nyuma yake kidogo, nakuhakikishia Ndinga hilo kwa bei yake kamwe hawezi kuimiliki, kwa mshahara wake atafilisika, hilo Ndinga wanamiliki wenye pesa ndefu kama Kina Dr. Dre na Bakhresa ambaye naye kashaliuza, kamuuzia yule bwasheeee
Ali kiba ndio nanii?Ali Kiba analo kama hilo sema apendi show off tu kama Samatta
Umejuaje kuwa ni ya kwake? Yaani mtu kupiga picha karibu na gari tayari isha kuwa yake?
Wabongo bwana mnajua majina ya magari ya kifahari huku daily mnabanana kwenye daladalaThe new 2018 Lamborghini Aventador Roadster
![]()
![]()
![]()
![]()
HIZI NDO NDINGA MKUU
Basi inabidi uifuatilie engine yake hutakua disappointed..Mimi ni fun wa engine kubwa kuanzia CC 2500 turbo charge 24cam...
Toa na makato ya kodi hapoHahaha huoni ndinga hio? Si mchezo bwana ..utashindana wapi na samata bwana japo hawez kushindana na akina alexis sanchez lakin milioni 50+ kwa mwezi sio haba bwana kwa miaka 2 hapo ana 1 Bilion na ushee
Tawile baba Tawile!!Kwasasa naona Msuva yupo juu kiuchezaji kumzidi huyo mzubavu. Siku si nyingi anarejea Mbao Fc
Imeshakatwa kodiToa na makato ya kodi hapo
Unajisikiaje mwenzako ameweza kununua hiyo gari lakini wewe unaweza mtimbila ifakara hadi sokoni kariakoo daslamu?Akinunua Kama hii nakunya njia nzima kutoka Huku kwetu mtimbila ifakara hadi sokoni kariakoo daslamu
Sio unapenda gari yake?Nampenda huyu kaka
Daaaah. Wabongo....! La captain ndio ametoka Majeruhi juzi juzi tu!siku hizi nyavu amezisusa
Utapata nini akirudi kuchezea Mbao?Kwasasa naona Msuva yupo juu kiuchezaji kumzidi huyo mzubavu. Siku si nyingi anarejea Mbao Fc
Watanzania na zile roho zetu! Hawamfatilii lkn wanamponda!Yuko kwenye program kali sana ya mazoezi na uangalizi wa hali ya juu wa kitaalamu sana wa madaktari akirudi itakua balaa
Update: mechi ya juzi aliingia kipindi cha 2. Kwaio tusubirie akitikisa nyavu
Jamaa ana Chuki halisi za KitanzaniaIn your wildest dreams ahahaha ...pole sana hahahaah