Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

Unaijua principle ya maisha ni nini ..can you tell me
 
Yes ni liability. Lakini unajuaje kama ana asset za kumwaga na hiyo liability ni kama drop ya maji kwenye bahari?
Licha ya yote kila mtu na anachokipenda hatuwez fanana
 
Utapata nini akirudi kuchezea Mbao?

Inshort hana jipya, alidanganya umri ndo linalomtesa maana wanamuona kijana wa miaka 23 kumbe muhenga wa miaka 32, halafu hapo tu hana demu je angekuwa nae angekuwaje? Au ndo kazidisha punyeto hadi nguvu zinaisha magotini? Hasara kwa nani?
 
Aina gani hiyo,kama fortuner vile, anyway bei yake ni 120ml.tz. tho inategemea. Maana mbongo akifanya evaluation achelewi kutoa 75ml.
 
Hongera to you brother Mungu akuzdishie zaidi.
 
Hahaha huoni ndinga hio? Si mchezo bwana ..utashindana wapi na samata bwana japo hawez kushindana na akina alexis sanchez lakin milioni 50+ kwa mwezi sio haba bwana kwa miaka 2 hapo ana 1 Bilion na ushee
Nimeiona ipo kama Vitz New Model.
 
Ila wabongo sijui kwa nini wana roho mbaya sana, yaani hapo samatta kusifiwa watu wanaumia khaa[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Unadhalilisha maana ya neno ndinga.... Hako ni kagari
Sisi zamani lijilori la Polisi tuliliita "kalandinga". Yale malori ya kubebea wafungwa na mahabusu yaliyokuwa yamezungushiwa wavu wa chuma chembamba. Hii "ndinga" yenu mbona inawaletea shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…