Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

Ndinga mpya ya Mbwana Samatta

dah nikajua lamborghini au ferrari bora hata ingekua bmw .....gari hata siijui hicho ni kindinga ...ambaye analifahamu anisaidie....
 
In your wildest dreams ahahaha ...pole sana hahahaah

Nakupa mwaka kama hatajirekebisha na kujiona star , mwakani tutamuona kupitia Azam tv akicheza uwanja wa majimaji.

Halafu kwasasa kaporomoka hata pale TP Mazembe hapati namba hata kikosi cha 2 labda kufua jezi za wenzie.

Simchukii ila sipendi jinsi asivyojituma ,yaani haonyeshi anamatumaini ya kusonga zaidi ya pale .Ligi ya uingereza tutaishia kuangalia nae kwenye vibanda umiza.
Hongereni majirani Kenya kutoa wachezaji ligi kubwa,sisi tuendelee kumsifia Samata kavaa vizuri ,sijui kanunua gari
 
Tushawazoea hao. Wakipata ela wanavuruga na kufanya matanuzi, muda si mrefu ataishiwa..

Namshauri afanye investment za maana. Aachane na magari, after all huko alipo hawezi kupiga hata bakora..

Elimu, Elimu, Elimu
Acheni wanga basi...ukiongea hapa utadhani wewe ume invest chochote kumbe karaghabao tu[emoji23] [emoji23] ukiwa na fedha unaishi ndoto zako, kumiliki gari sio jambo baya kama una uwezo wa kununua na mambo yako yakawa bado super, najua investment za samatta kwa kiasi hicho nachokijua toka nikiwa wizara ya ardhi najua na wala sihitaji kuzisema...tuwaacheni watu wafanye mambo yao jamani au kila kitu mnataka alete hapa jamvini
 
Kama nalipwa milioni 50 kwa mwezi siwezi kutembelea bata vuzi..... Mwendo Range rover, LC VX, 7 Series ivi, S class...
 
Unajua nlikua namsikiliza hapa papaa fere golla ngoma yake mpya ya mwaka jana ...anyway kiongozi wenzetu wako mbali sana...alipoumia alikua yuko kwenye uangalizi maalumu wa madaktari na mazoez makali kwaio sina shaka atarudi katika fomu muda mfup tu , and actually ameshapona na alicheza majuz kati hapa
Hizo zingine ni mikogo tu ya kawaida kama wachezaji wengine wa juu huko, umrudishie nini maulana tena kwa mshahara wa milioni 55 kwa mwezi ..mikogo itakuepo
Milioni hamsini unaweza kuziona nyingi lakini uliza kodi ya serikali tsh. ngapi?matumizi na gharama za maisha ubeligiji yakoje?
 
Milioni hamsini unaweza kuziona nyingi lakini uliza kodi ya serikali tsh. ngapi?matumizi na gharama za maisha ubeligiji yakoje?
Mipango tu ..ukiwa na mipango ni pesa nyingi sana ndo mana ana gari kama tatu za maana, amewekeza kwenye ardhi nchini kwake hayo ndio ambayo tunayajua so kama mtu ana akili ya kuinvest basi pasi na shaka sio wa mchezo mchezo
 
Yuko kwenye program kali sana ya mazoezi na uangalizi wa hali ya juu wa kitaalamu sana wa madaktari akirudi itakua balaa

Update: mechi ya juzi aliingia kipindi cha 2. Kwaio tusubirie akitikisa nyavu
Tangu alipoingia mechi haijaisha tu!?
 
Moja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.

Samatta ni moja kati ya mastaa wa soka ambao hawapendi kuweka mali zao hadharani mara kwa mara lakini siku chache zilizopita amepost picha ya gari nyeupe ambayo inaelezwa ni ndinga yake mpya hongera kwake.

1c5c3804214aeaf6df8072f8bf5b16cf.jpg
Watanzania hatuachi ushamba,sasa hilo ndio gari la kujitangaza
 
Ukitaka kujua habari za tajiri muulize masikini.
 
Back
Top Bottom