Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
dah nikajua lamborghini au ferrari bora hata ingekua bmw .....gari hata siijui hicho ni kindinga ...ambaye analifahamu anisaidie....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In your wildest dreams ahahaha ...pole sana hahahaah
Diamond analo zaidi ya Hilo ila hapendi show off tuAli Kiba analo kama hilo sema apendi show off tu kama Samatta
Acheni wanga basi...ukiongea hapa utadhani wewe ume invest chochote kumbe karaghabao tu[emoji23] [emoji23] ukiwa na fedha unaishi ndoto zako, kumiliki gari sio jambo baya kama una uwezo wa kununua na mambo yako yakawa bado super, najua investment za samatta kwa kiasi hicho nachokijua toka nikiwa wizara ya ardhi najua na wala sihitaji kuzisema...tuwaacheni watu wafanye mambo yao jamani au kila kitu mnataka alete hapa jamviniTushawazoea hao. Wakipata ela wanavuruga na kufanya matanuzi, muda si mrefu ataishiwa..
Namshauri afanye investment za maana. Aachane na magari, after all huko alipo hawezi kupiga hata bakora..
Elimu, Elimu, Elimu
Mzee kuna sehemu naweza kukuelekeza ukanunue matunguridah nikajua lamborghini au ferrari bora hata ingekua bmw .....gari hata siijui hicho ni kindinga ...ambaye analifahamu anisaidie....
Milioni hamsini unaweza kuziona nyingi lakini uliza kodi ya serikali tsh. ngapi?matumizi na gharama za maisha ubeligiji yakoje?Unajua nlikua namsikiliza hapa papaa fere golla ngoma yake mpya ya mwaka jana ...anyway kiongozi wenzetu wako mbali sana...alipoumia alikua yuko kwenye uangalizi maalumu wa madaktari na mazoez makali kwaio sina shaka atarudi katika fomu muda mfup tu , and actually ameshapona na alicheza majuz kati hapa
Hizo zingine ni mikogo tu ya kawaida kama wachezaji wengine wa juu huko, umrudishie nini maulana tena kwa mshahara wa milioni 55 kwa mwezi ..mikogo itakuepo
Kweli mkuu! Nilidhani anamiliki walau Aston Martin.Unadhalilisha maana ya neno ndinga.... Hako ni kagari
Mipango tu ..ukiwa na mipango ni pesa nyingi sana ndo mana ana gari kama tatu za maana, amewekeza kwenye ardhi nchini kwake hayo ndio ambayo tunayajua so kama mtu ana akili ya kuinvest basi pasi na shaka sio wa mchezo mchezoMilioni hamsini unaweza kuziona nyingi lakini uliza kodi ya serikali tsh. ngapi?matumizi na gharama za maisha ubeligiji yakoje?
Tangu alipoingia mechi haijaisha tu!?Yuko kwenye program kali sana ya mazoezi na uangalizi wa hali ya juu wa kitaalamu sana wa madaktari akirudi itakua balaa
Update: mechi ya juzi aliingia kipindi cha 2. Kwaio tusubirie akitikisa nyavu
MKUU HAYO NDO MAISHA YETU YA KILA SIKU. HONGERA WEWE MWENYE UWEZO WA KUMILIKI USAFIRI. YETU SISI MACHO MKUUWabongo bwana mnajua majina ya magari ya kifahari huku daily mnabanana kwenye daladala
Akinunua Kama hii nakunya njia nzima kutoka Huku kwetu mtimbila ifakara hadi sokoni kariakoo daslamu
Kwanini usiseme "maisha yangu" unafikir uko sawa na wengine ?MKUU HAYO NDO MAISHA YETU YA KILA SIKU. HONGERA WEWE MWENYE UWEZO WA KUMILIKI USAFIRI. YETU SISI MACHO MKUU
WEWE ULIYO NEW YORK NA SISI TULIOPO SITCHIMBI WAPI NA WAPI...MIMI NI HADHILA NDUGU.......Kwanini usiseme "maisha yangu" unafikir uko sawa na wengine ?
Watanzania hatuachi ushamba,sasa hilo ndio gari la kujitangazaMoja kati ya majina makubwa katika soka kutokea ukanda wa Afrika Mashariki basi huwezi kuacha kutaja jina la nadhoa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayecheza soka la kulipwa katika club ya KRC Genk ya Ubelgiji Mbwana Samatta.
Samatta ni moja kati ya mastaa wa soka ambao hawapendi kuweka mali zao hadharani mara kwa mara lakini siku chache zilizopita amepost picha ya gari nyeupe ambayo inaelezwa ni ndinga yake mpya hongera kwake.
![]()
Wewe una niniWatanzania hatuachi ushamba,sasa hilo ndio gari la kujitangaza