Kwa hivyo wewe unapenda dhulma? Watu wadhulimiwe? Wapigwe? Wateswe ndio hapo roho yako inakuwa inafuraha?Wewe jamaa ungehamishia makazi yako Afghanstan, ungeinjoi sana na wale ndugu zako Wataliban.
Mashhoga mna tabu!Wewe jamaa ungehamishia makazi yako Afghanstan, ungeinjoi sana na wale ndugu zako Wataliban.
Mbona hayo yote hadi kwenye biblia yapo.Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
Achana nae mwehu huyo! Kondoo wa bwana huyo Hana akiliKwa hivyo wewe unapenda dhulma? Watu wadhulimiwe? Wapigwe? Wateswe ndio hapo roho yako inakuwa inafuraha?
Mwambie ili galatia lenzio Tate MkuuMbona hayo yote hadi kwenye biblia yapo.
Acha kuhangaika na Wazungu. Tuanze kwanza na hawa madhulumati sugu ya ccm.Kwa hivyo wewe unapenda dhulma? Watu wadhulimiwe? Wapigwe? Wateswe ndio hapo roho yako inakuwa inafuraha?
Quran imeshindwa kumsaidia Mtume Muhammad SAW kaishia kuwa mbakaji, fala na mshenziAchana nae mwehu huyo! Kondoo wa bwana huyo Hana akili
ok.🐒Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
OnaIli kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
Umejuaje mm mgalatia mbona sijajitambulishaMwambie ili galatia lenzio Tate Mkuu
Leo umeamkia kibra? Sio km yule mwenzio anajiita Kinyeo sijui ndio huyu KraangFunzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
Oya noma kinoma yaan hapo maana yake hadi alieua anatakiwa auwawe hio ndio haki yake sijasema mimi soma Warumi 13 mstari wa 7 unasemaje?Warumi 13:7
“Mpeni kila mtu haki yake; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.”
Samia na kundi lake anateka, anatesa, anapoteza na kuuwa kwa kufuata katiba gani?Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
Kwenye kutafsiri biblia ndio huwa kunaletaga shida hapo. Ndio maana madhehebu ya kikristo ni mengi.Oya noma kinoma yaan hapo maana yake hadi alieua anatakiwa auwawe hio ndio haki yake sijasema mimi soma Warumi 13 mstari wa 7 unasemaje?
Amani ni bora kuliko haki sheikh haki tutaipata akheraKwa hivyo wewe unapenda dhulma? Watu wadhulimiwe? Wapigwe? Wateswe ndio hapo roho yako inakuwa inafuraha?