Ndio maana Muumba wetu akatupa muongozo (Katiba) tuufate dunia nzima ili kuepusha haya yanatokea duniani

Maadui wakubwa wa HAKI DUNIANI NI WAISLAMU NDIYO MAANA NI NGUMU MUISLAMU KUMKEMEA MUISLAMU MWENZAKE PASIPO UNAFIKI ... MF KULE ZANZIBAR. WASIO WAISLAMU WANALAZIMISHWA KUTOKULA KWA KISINGIZIO CHA WAISLAMU KUFUNGA HII NI WAZI WANACHO KIFANYA NI KINYUME NA ALICHO FANYA MUHAMMAD JE UMEWAHI KUSIKIA SHEKH YOYOTE AKIKEKEA KUWA SIYO SAWA KULAZIMISHA KUTOKULA WASIO WAISLAMU...JE WAKATI NYINYI MLIOFUNGA MNAPOKULA DAKU SAA 10 HADI SAA 11 USIKU , WASIO WAISLAMU NAO WANAKULA HIYO DAKU ? KAMA JIBU NI HAPANA WASIO WAISLAMU AWALAGI DAKU USIKU . VP WALAZIMISHWE KUTOKULA.
 
Hicho kitabu sio Cha mwenyezi Mungu, dhibitisha.
 
Agano la Kale, jipya yamefutwa
Haujaiona mistari ya agano jipya nimeweka hapa
 
Haujaiona mistari ya agano jipya nimeweka hapa
Swali , nani anatakiwa asiamie hayo maandishi ktk biblia?Uislamu unataka makadhi ktk serekali ya kiislam ndio isimamie.
 
Uongo, amesema katiba , sio Quran hajasema hivyo
Ni hivi agano jipya na agano la Kale yote ni sehemu ya maandiko matakatifu kwa wakristo.

Vitabu 73 kwa wakatoliki
Vitabu 66 kwa wale wengine

Ndio maana ukienda kwenye ibada ya misa takatifu soma la kwanza litatoka kwenye agano la Kale na msomaji akishamaliza kusoma neno atasimama kwa unyenyekevu na kuimba neno la Bwana na jeshi kubwa la waamini litajibu Tumshukuru Mungu
 
Hio maada nyengine.
 
Mashhoga mna tabu!

Sasa hayo maandiko aliyonukuu mbona ni mazuri yanasisitiza haki ma wajibu! Au nyie wakristo hampendi haki na wajibu? ndiomaana manabii wa uongo wanawapiga pesa Kila siku mmbwa nyie.
Msituite mashoga bana.

Your browser is not able to display this video.


antimatter
 
Swali , nani anatakiwa asiamie hayo maandishi ktk biblia?Uislamu unataka makadhi ktk serekali ya kiislam ndio isimamie.
Katika ukristo ni kazi ya wachungaji na walimu kuwafundisha waamini neno la Mungu. Waamini wakisikia wanaliishi.

Taifa lenye wakristo wengi wenye imani kwa mwenyezi Mungu maana ake litakuwa na viongozi wakristo kwa hiyo watatunga sheria zinazoendana na Imani yao. Na kutakuwa na polisi na mahakama na kadhalika. (Hii ni kwa secular Government)

Wakristo pia wanaweza kuwa na serikali za kidini zinaitwa theocracy.

Biblia au agana jipya haiwafundishi wakristo jinsi ya kuunda serikali na mifumo ya utawala. Kwa hiyo kwenye taifa la kikiristo hekima hutawala.

Baadhi ya viongozi wa dini mara nyingi huwa hawapendelei kujiingiza moja kwa moja kwenye utawala wa kiserikali ili kujitenga na ufisadi na majanga mengine wanaokuwaga nao watawala wa kiserikali
 
Kama Hilo likitabu Lina maana Sana, na ni silver bullet ya maendeleo, Somali, Sudan, Libya, Yemen, morroco, kote huko ni shida tupu, mnakimbilia kwenye nchi zinazokula kitimoto!
 
Katika Uislamu kunatakiwa kuelimishwa, ukiwa husikii unapewa adhabu kwa njia ya haki na uadilifu
 
Kama Hilo likitabu Lina maana Sana, na ni silver bullet ya maendeleo, Somali, Sudan, Libya, Yemen, morroco, kote huko ni shida tupu, mnakimbilia kwenye nchi zinazokula kitimoto!
Huko kote wamefata mataifa ya magharibi, viongozi wao wanafata sera za magharibi badala ya kufuata Quran na sunnah. Kwa ufupi hawafati sharia za kiislam kikamilifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…