Hata kwa wakristo ona agano la KaleKatika Uislamu kunatakiwa kuelimishwa, ukiwa husikii unapewa adhabu kwa njia ya haki na uadilifu
Wewe unajiona mjanja. Kumbe 0 brainHuo utumbo mtawadanganya wapumbavu
Ukiristo unaruhusu kuunda utawala na kuhukumu kupitia biblia?Hata kwa wakristo ona agano la Kale
Mithali 13:24
“Yeye asiyetumia fimbo yake humchukia mwanawe; bali yeye ampendaye humrudi mapema.”
Mithali 22:15
“Ujinga umefungwa ndani ya moyo wa mtoto; Lakini fimbo ya adhabu itaufukuzia mbali.”
Mithali 29:15
“Fimbo na maonyo hutia hekima; Bali mwana aliyeachiliwa humwaibisha mamaye.”
Mhubiri 8:11
“Kwa sababu hukumu juu ya tendo baya haikutekelezwa upesi, kwa hiyo mioyo ya wanadamu imejaa nia ya kutenda mabaya.”
Ona na agano jipya
Waebrania 12:6
“Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humrudi, Naye humpiga kila mwana amkubaliye.”
Waebrania 12:11
“Kila adhabu wakati wake haionekani kuwa kitu cha furaha, bali cha huzuni; lakini baadaye huwaletea wao waliozoezwa nayo matunda ya haki yenye amani.”
Warumi 13:3–4
“Kwa maana watawala hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya…”
Bishana na mimi, mimi ni mpole na hatujawahi kukosanaWewe unajiona mjanja. Kumbe 0 brain
Kwa mtu asiye tumia logic ataelewa kama ulivyo elewa wewe..mfano msahafu ukisema wizi ni uovu na katiba ikisema wizi ni uovu kisha kiongozi au mtu yoyote akisema hayo maneno ni upumbavu wa katiba....je mtu huyo akutukana na msahafu. Tumia akiliUongo, amesema katiba , sio Quran hajasema hivyo
Noo, tumia akili usitumie nywele kufikiria. Quran huwezi kufafanisha na kitabu chochoteKwa mtu asiye tumia logic ataelewa kama ulivyo elewa wewe..mfano msahafu ukisema wizi ni uovu na katiba ikisema wizi ni uovu kisha kiongozi au mtu yoyote akisema hayo maneno ni upumbavu wa katiba....je mtu huyo akutukana na msahafu. Tumia akili
Mimi siwezi kubishana. Kubishana means kupiga kelele tuBishana na mimi, mimi ni mpole na hatujawahi kukosana
Ndiyo ila shida ni wewe kuelewa biblia ni nini ...ukristo unataka wakristo na viongozi waishi na kuongoza sawa sawa na neno la Mungu...unajua nini maana yake?Ukiristo unaruhusu kuunda utawala na kuhukumu kupitia biblia?
Niambie wewe mbegu za kiume zinatengenezwa vipi katikati ya mbavu badala ya korodani?Wewe unajiona mjanja. Kumbe 0 brain
Nafikiri lingekuwa ni jambo zuri sana kutawala nchi kwa kutumia biblia.Ukiristo unaruhusu kuunda utawala na kuhukumu kupitia biblia?
Ndiyo ila shida ni wewe kuelewa biblia ni nini ...ukristo unataka wakristo na viongozi waishi na kuongoza sawa sawa na neno la Mungu...unajua nini maana yake?Ukiristo unaruhusu kuunda utawala na kuhukumu kupitia biblia?
Samahani kiswahili ni cha watu wa pwani wengine tumeazima. Nilikuwa namaanisha tuzungumzeMimi siwezi kubishana. Kubishana means kupiga kelele tu
Ndiyo kimesha fananishwa na kakitabu tu ..ushahidi ni yeye kuingia na mabasha masjid wakiwa wamevaa kama wanawake na hao mabasha tumeshuhudia wakitumia vyoo vya kike pale msikitini.Noo, tumia akili usitumie nywele kufikiria. Quran huwezi kufafanisha na kitabu chochote
UNafikiri lingekuwa ni jambo zuri sana kutawala nchi kwa kutumia biblia.
Kuanzia mwaka 756 mpaka 1870 Papa alikuwa na himaya yake kubwa tu ndani ya italy ambayo alikuwa anatawala kama mfalme.
Sema wasiopenda utawala wa kidini wakafanya vurugu sasa Papa amebaki na Vatican.
Ingependeza sana kama Papa angepewa Tanzania aitawale kwa haki au unasemaje.?
Hata hivyo kuna chamgamoto moja kwa mfano kwa nchi kama Tanzania ambapo pia kuna waamini wa dini ya kiislamu uamuzi wa kuitawala kwa biblia unaweza ukawa ni ukandamizaji kwa waumini hao kwa hiyo lazima tuwe waangalifu ili tutende haki
Habari za kufikirishaNdiyo kimesha fananishwa na kakitabu tu ..ushahidi ni yeye kuingia na mabasha masjid wakiwa wamevaa kama wanawake na hao mabasha tumeshuhudia wakitumia vyoo vya kike pale msikitini.
Usinikamate kwa neno moja kama hivo, mara neno kubishana, mara neno kufikiri tuutafute ukweli taratibu kwa unyenyekevu huwezi jua labda mwenyezi yaani yeye aliyetuumba anaweza akatujalia neema kupata ukweli na amaniU
Habari za kufikirisha
Kwa hiyo siyo kweli kuwa mabasha 7 walivaa Hikabu ? Na kutawaza upande wa wanawake na kuketi masjid upande wa wanawake na kutumia vyoo vya wanawake ?U
Habari za kufikirisha
Nenda kagugo the papal statesU
Habari za kufikirisha
Ndugu Malaria 2 ,ukiondoa wewe kuwa ni fanatic wa dini yako, una uelewa na ufahamu mzuri na unapenda haki.Ili kuepusha kupendeleana, dhulma baina yetu, kupendeleana, kuoneana ili jamii ipate haki, usawa, amani na utulivu. Muumba wetu atupa Quran na Sunnah ili jamii tuifuate na ituongoze.
Lakini leo hii mambo yamekuwa shaghla baghla.
Wasiokuwa waislam hasa mataifa ya magharibi yanaibika vita, nchi zenye waislam wengi na wao wametumbikia katika mtazamo wa kimagharibi wa kupenda kuwatawala wengine na mali zao, hatimae nchi zao zimeingizwa ktk mtafaruku wenyewe kwa wenyewe.
Kwanini Quran ndio muongozo sahihi?
Allah anasema: “Wala kuchukiana na watu fulani kusikupelekeeni kutowafanyia uadilifu. Fanyeni uadilifu, huko ndiko kunakomkurubisha mtu na uchamungu.” (Qur’an 5:8).
Kuweni wasimamizi madhubuti wa uadilifu, mkishuhudia kwa ajili ya Allah, ijapokuwa ni juu ya nafsi zenu.” (Qur’an 4:135)
Funzo: Usifiche ukweli ili kumlinda ndugu, rafiki, kiongozi au mtu unayempenda.
Na mnapohukumu baina ya watu, mhukumu kwa uadilifu.” (Qur’an 4:58)
Funzo: Viongozi, mahakimu na wenye mamlaka wanapaswa kuhukumu kwa haki, si kwa rushwa, ukaribu au maslahi binafsi.
Mtume amesema.
Kilichowaangamiza watu waliokuwa kabla yenu ni kwamba mtu mwenye heshima miongoni mwao akiiba, humwacha; lakini mtu dhaifu akiiba, humtekelezea adhabu.”
Mtume ﷺ alieleza hivyo aliposisitiza kuwa sheria haipaswi kupindishwa kwa sababu ya hadhi ya mtu.
Chanzo: Sahih al-Bukhari, 3475; Sahih Muslim, 1688.
Funzo: Haki haipaswi kutegemea cheo, utajiri, ukaribu au nafasi ya mtu katika jamii.
BILA YA KUTUMIA QURAN KAMA NDIO KATIBA YETU DUNIANI, BASI TUTEGEMEE HAYA YANAYOTOKEA DUNIANI YATAZIDI.
Sijakuelewa ndugu. Nani atamlizaKila sehemu binaadam atalia