Ndio maana watu huwa hawapendi kutoa lift

Sasa hapo si unatoa tuu hizo mats, unakung'uta huo mchanga bwana RRONDO unazirudishia, Hapo hapo ndio mpaka car wash! 😁
Sema wenye magari mazuri waga mnavimba sana!
Mchanga wa hivyo mpaka vacuum machine mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…