tutakuwa tunavua viatu
msala atabaki nao abiria , all in all kuwapa watu lift ku vi risk, unakuta mtu hata ana madawa ya kulevya n.k hasa kuwapa watu usio wajua na huna uhusiano nao wowote.. kuna bro wangu alishawai mpa mtu lift kimbe ndani abiria alikuwa na SMG kidogo anyeee ndoooKwamba ww dereva Huwez kufa?
Usituombee msamaha tutajipigania ππ₯Ήπ₯Ή sawa basi usimseme msamehe tu
Aisee nomamsala atabaki nao abiria , all in all kuwapa watu lift ku vi risk, unakuta mtu hata ana madawa ya kulevya n.k hasa kuwapa watu usio wajua na huna uhusiano nao wowote.. kuna bro wangu alishawai mpa mtu lift kimbe ndani abiria alikuwa na SMG kidogo anyeee ndooo
Sema ndio tunaishi kwa mazoea na ku ignore baadhi ya risk, hadi jambo mtu limkute ndio anaanza ningejuaaAisee noma
Sasa huo mchanga c unakung'uta tuu hapo
Hii kali tena yeboyebo kwa kubeba mchangaRRONDO akikupa lift unavua tuu yeboyebo/schooner unazishika mkononi. π
Tajiri hua hapeleki gari car wash yeye mwenyewe,RR kapeleka car wash eti! Hapo hapo katoa na buku teni! π
Hii kali tena yeboyebo kwa kubeba mchanga
Wewe unajua hali halisi. Hizi sio carpet za plastic zile za 35,000/- πππ
Mpare kwenye 1&2. Hapana hela inatoka kizembe πSasa huo mchanga c unakung'uta tuu hapo
Bora hata angesaidia masikini ieleweke ametoa msaada πMpare kwenye 1&2. Hapana hela inatoka kizembe π
hapo sasa sijui anamwambia nan, humu hamna ombaomba...Lakini situlisha kubaliana kwamba humu wote tunamililiki magari...