Ndio maana watu huwa hawapendi kutoa lift

mini-me usicheke hii no shida! Sasa kama wanaume na Sisi tunakuwa wambea namna hii! Haipendezi hata kidogo. Wewe umetoa lift basi kama wamechafua pita car wash piga maji nyamaza!
 
Si unaosha nyumbani??

Car was means hana facilities nyumbani.

Kapanga huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…