Ndio tulipofika
Sijaona serikali ikiongoelea lolote kuhusu ajali iliyotokea jana usiku na kuondoka na watu takribani 30. Zaid ya mkuu wa mkoa kudhuru eneo la tukio jana usiku baada ya ajali, hata pole kwa ndugu na familia.
Je ni kwamba serikali hii inaogopa kutangaza majango kuepuka aibu ya kisiasa .? au ndio Kifo ni Kifo kwa hiyo hakuna haja ya sympathy kutoka kwa mama/serikali.
Tunapoelekea ni kubaya.