Nimejibu kwa mzaha kama wanavyojibu CCMKwa ss roho za maccm hazina tofauti na mashetani,comment zenu zinaonyesha. Very sad
Nimejibu kwa mzaha kama wanavyojibu CCMKwa ss roho za maccm hazina tofauti na mashetani,comment zenu zinaonyesha. Very sad
Kwa kweli, sehemu kubwa ya wanachama wa CCM wanaonyesha tabia za kikatili na ukatili wa kiakili, kana kwamba hawana huruma wala utu. Inatufanya tujiulize. je, watu hawa wamekua katika mazingira duni ya malezi yaliyowapoka maadili ya msingi ya kibinadamu? Au ni itikadi ya chama chao inayowajenga kuwa hivi, kuongea kwa lugha za chuki na dharau? Je, ni tamaa ya madaraka inayowasukuma kupoteza hisia za ubinadamu? Au ni misimamo yao mikali inayowafanya waamini kuwa wale wanaotofautiana nao kisiasa wanastahili kutendewa kama wanyama, kama vile ni haki yao ya msingi kufanya hivyo?Huu ni mwanya wa kutafakari kama taifa. Je, tunalea kizazi cha viongozi au kizazi cha watesi? Tujitafakari!Kwa ss roho za maccm hazina tofauti na mashetani,comment zenu zinaonyesha. Very sad
Usichoelewa ni kipi .?Hata hueleweki. Ovyo kabisa wewe.
Umeandika takataka, acha siasa za kishamba we mbwa koko, we ndio unaelekea kubaya