Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2015
Posts
13,897
Reaction score
18,477

Russia comments on deadly strike on Ukrainian city​

Moscow said it targeted a meeting of Kiev's military commanders with foreign arms suppliers in central Vinnitsa.
Russia attacked the House of Military Officers in Vinnitsa with sea-launched Kalibr cruise missiles, the Defense Ministry said on Friday during a daily briefing. The statement claimed that the attack happened when a group of Ukrainian senior military officers were holding a meeting with foreign arms suppliers. The discussion was about the “transfer of more warplanes and weapons systems as well as the repair of the Ukrainian military air fleet,” the ministry said. The Russian strike killed all participants at the gathering.

Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana kupita kawaida yake ya kulalamika. Mpaka akasema ingefanyika namna hii huko Texas Marekani ingekuwaje? Hapa anazungumzia shambulizi lililofanywa na urusi katikati ya Ukraine kwenye mji wa Vinnytsia in central Ukraine. Makamanda wa ukraine walikuwa kwenye kikao cha kuzungumzia kuuziwa silaha na wawakilishi wa makampuni ya nchi za magjharibi yanayouza silaha nzito za kijeshi. Wote waliangamizwa!!
 
Propaganda
 
Emu tupe picha ata ya mmoja mkuu alio kufa tuone?

1657886677344.png

Source: SF
 
Ila Zele kichwa maji kweli kweli, yaan watu wake wanakufa hivi bado kakomaa tu na vita
Tatizo kala pesa za mabeberu kwa hiyo lazima nchi yake ilipe kwa damu ya waukraine kupigana na warusi kwa niaba ya marekani!! Marekani inafurahi kuwa inaweza kupigana na urusi bila kumwaga damu ya askari yeyote wa marekani kwa kutumia mikono na damu ya watu wa ukraine!! Hawakubali kabisa ukraine ifanye mazungumzo ya amani na urusi!!
Marekani inasema itapambana na Urusi hadi tone la mwisho la damu ya watu wa Ukraine!! Uone Marekani ilivyo katili!!
 
Zelensky hana maana hawezi shinda vita.Wakae mezani wazungumze yaishe.Anatumika kama kopo la chooni.
Nawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
 
Back
Top Bottom