Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

Njemba zinakimbia kimbia hovyo inchini mwao. Hazina makazi rasmi tena marmae!! fuckZele
 
Za ndani kabisa
emoji41.png
emoji41.png
emoji41.png


Odessa na kyiv ndio kituo kinachofata sasa kulingana na namna maafisa wa us kushirik kwa namna tofaut tofaut kumsaidia zele licha ya maonyo waliyopewa na DUBU itakua ngumu kuwalinda maafisa wa ubaloz ikitokea wamedakwa nje ya ubaloz.

Sasa ili kujiham dhid ya hasira za DUBU wameonelea bora wakihame kichaka chao.

Mpaka sasa DUBU ana taarifa za mienendo ya maafisa wote wa ubaloz inamaana atakayedakwa fasta taarifa za mienendo yake zinawekwa hadharan na namna walivyokiuka mashart yanayompa kinga mwanadiplomasia ktk nchi ya kigen.

Chanzo;niamin bro
Wacha wakamate kihere here mmoja ili amwage siri washushiwe mkong'oto vizuri
Washaona kabisa kua next move Ni Kiev[emoji4]
WaPatiwe Kalibr 3 za moto sana
 
Back
Top Bottom