Ndiyo maana Zelensky amelalamika sana!! Kumbe Makamanda wake walikuwa kwenye kikao na wauzaji wa vifaa vya kijeshi, makombora ya Urusi yakawaangamiza!

Kama ni kweli basi katikati ya makamanda hao walikuwepo Wana intelligentsia wa Russia!
Hao ndiyo huenda walitoa logistics za mahali walipokuwa wamekusanyika hao makamanda wa Ukraine.
 
Makamanda wa ukraine walikuwa kwenye kikao cha kuzungumzia kuuziwa silaha na wawakilishi wa makampuni ya nchi za magjharibi yanayouza silaha nzito za kijeshi. Wote waliangamizwa!!
Kwahiyo mrusi sasa hivi hasubiri silaha za Ukraine azilipue bali analipua hata wanaokuwa wamejificha huko vijijini kuomba wapatiwe siraha
 
Russia ana ma Agent ndani ya Jeshi la Ukraine na Nchi zote hasimu
 
Nawashangaa sana mnaosema eti wakae wazungumze yaishe, Sasa mtu kakuvamia chumbani kwako anataka Mali zako ukimwacha kesho atakuja tena atamtaka mkeo utamwacha kesho kutwa atakutaka na ww.
Msipotoshe suala hili lilivyo....mtu hawezi kuja tu nyumbani kwako kukuvamia pasipo sababu...wewe unajifanya mbabe unamtukana na kumsema jirani yako mwenye nguvu, halafu kwa ujnga na upumbavu wako au hata ushenzi unawakaribisha maadui wa jirani Yakima huyo ili waandae mipango ya kumwangamiza huyo jirani...halafu unaanza kuwafyeka watu wa ukoo wa huyo jirani na kuwaua na kuwatambia kuwa Kama vipi mleteni huyo mbabe wenu...na mbaya zaidi unaleta hata tunguli za ulozi na wachawi na kumtambia jirani yako....jirani anaona hiyo Sasa inatosha anaamua kukutwanga kidogo kidogo...anavamia shamba, vyu a vya watoto huku wewe ukishupaza shingo kwa upumbavu......huyo Zelensky wacha apigwe aisee...he is a very stupid leader....historia itakuja kumhukumu tu kwa kusababisha vifo vya maelfu na maelfu vya Waukraine....Russia haitapoteza katika vita hi.....Russia will emerge victorious in this war..
 
Safi sana,intelligence ya urusi imefanya kazi nzuri,taarifa zikavuja,kwenye vita hakuna kucheka na mtu,Ukraine wapigwe tu,Mzee Putin aikamate nchi nzima,apandishe benders ya urusi,Cha msingi asipige balozi za nchi za magharibi na ulaya tu,Wala asimuue zelensky
 
Sijajiandaa kwa ubishi, Mkuu. Kwa hiyo nakutakia kila la heri.
hata mkijificha hospitalini ,mtaletewa vitu vizito hukohuko !!Vita haiangalii kìtu ,sijui mgonjwa,mtt au kilema. waache kujificha kwa raia ,vinginevyo vitu vizito vitawafuata hukohuko waliko hata Kama kwenye incubator za watt ,mtaletewa missiles hukohuko!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…