Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
😋 vibonge sina muda naoNdio jirani 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😋 vibonge sina muda naoNdio jirani 😂😂😂
Dada eb tulia kwanza , punguza hasira...kama vp mezea na limao.Ndomana wanaume wanasemaga wanawake wenye kalio kubwa hawanaga Akili wengi wao
Avatar inaongeaTo be honest wanawake walioumbikaa hata wanawake wenzao wanawaonea wivuu😄😄unakuta mtu anakukasirikia tu hata sababu hujuiii...unajiuliza nimefanyaa Nini😄😄kumbee shepuu dadaaa😄😄
Sio Mimi huyooooAvatar inaongea
Basi maelezo bila avatar yanatoshaSio Mimi huyoooo
NaamUmesema kweli lakini nyie huwa tunawatamani tu huwa tunawapelekea moto tunalala mbele hatuweki kambi,ukiona amekuganda basi huyo hakusomea Cuba.
HahahaAwe na Tako awe na kiuno awe na bastola. Hutaki kajisaidie....mi nshakutana na wanaume wanasema napenda mwanamke namba moja....
Nyooooh...namba moja my ass. Wengi ambao ni vibamia wanaogopa kuyafakamia matinginya sababu hawafiki ndani au hawajui style mujarabu.
Unabisha aangalia insta wanawake gani wana wafuasi wengi. Wanaume wengi wakikosa ndo husema sizitaki mbichi hizi. Nyie viwanawake kau kau mna gubu nyieeee....khaaaah.walalamishi, mna husda,roho mbaya, washakunaku na hamjiamini.
Ni nadra sana mwanaume kugeuka kumwangalia mwanamke namba 1 au kaukau.lakini sisi namba 8 weeeeeeeh....watu wanapata mpaka ajali.na wanaume wanasema hawataki kutuoa sababu ni pasua kichwa.tunapendwa na kutamaniwa na wengi.
Humu JF ukisoma tu unajua hiki ni chembamba kimekosa nyama na roho, utakiona tu comments zake.hakijiamini, kinaweweseka na kikorofi.sisi wanene watamu..akhaaaaaaah....kama mwanaume hueleweki pita kule kaka tusitiane hashua ya papa.
Wanaume weak hukimbilia vinamke vidogo dogo sisi wenye trailers tunaogopwa. Nami siogopi kusema.kama hutaki kalia misumali .we vipi UNANTAKA? Akhuuuu....kajitafute.na uwe na afya yako.mwanaume chini ya kgs 80 huyo ni cha upepo aende huko asilete ubabaifu.
Mwanaume unatakiwa ukaze,uwe na uzito na nguvu.ndo maana mnabaki kuvuonea vidada vina uzito wa kgs 40 mpaka 60. Mimi mwenzenu nina above 90 kgs so mwanaume wangu naye ameshiba na likifua, mamikono hayo.unasema eeeeh....nmeshikiliwa.siyo kamtu kanapepesuka..
NDO NISHASEMA.SIJALI WALA NINI.