Ndoa ambazo mke anampenda sana mume hazidumu. Kwasababu.......

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.

Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.

Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
 
Ndoa zetu bongo hazina formular hata ufanye nini mda wa kuvunjika ukifika ni lazima ivunjike tu.
 
🤠🤠🤠🤠 Mwanamke na amtii mumewe, hiii ina work vizuri kama mke na mume na watii kwa Mungu na niwacha Mungu bila hivyo kanuni ya Mungu haiwezi kufanya kazi kwa mabandidu
 
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.

Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.

Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
Imagine unaoa jike dume haliwezi kazi zote za mwanamke ni chafu, halijui kupiga pasi, Nyumba chafu, halina kinyaa na uchafu, sio mtii sio myenyekevu, heshima zero, hajui neno samahani wala nisamehe. Oa at ur own risk, tupige mashine tuache ujinga wa kuoa kuoa ni uzembe
 
Ndiyo maana unashauri kuchunguza kwanza na kutest mitambo yote kabla ya kuoa
 
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.

Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.

Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
Hiyo ni thiory tu back to the ground haipo hujasikia wanawake wanasema kabisa yule kaka ananipenda kweli kabisa lkn mie simpendi nampenda someone

Wanawake hawatabiriki ni WA kutiish tu hamna nmna
 
......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.

Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.

Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
Wanawake wa Sasa wa social media kama hawana hisia na wewe ukamuoa utagongewa vibaya mno
 
Mwanaamke yeyote hajaumbwa kumpenda mwanaume kwani mwanamke hajawahi kutofautisha mwanaume anayempenda na mwanaume anayempa mapenzi. Maneno UPENDO na neno MAPENZI ni maneno ambayo hakuna mwanamke anayeweza kuyatofautisha yanawachanganya sana l. Ni mwanaume ndo awezaye tofautisha hayo maneno.
 
Back
Top Bottom