Ndoa zetu bongo hazina formular hata ufanye nini mda wa kuvunjika ukifika ni lazima ivunjike tu.......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.
Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.
Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
Nakushauri uamini mkuu. Hii ni kanuni ya kimaumbileSasa kwa sisi ambao hatuamini huo ushahidi uliotoa unatushawishi vipi? Au hii mada haituhusu?
Hapana. Sikulazimishi bali nawashirikisha na kuwashauriUnatulazimisha wote tuamini unachokiamini wewe.
Nakubaliana nawe, mwanamke akigundua unampenda tena sana hakuna ushuzi utaacha kujamba!!.Vice versa is true,sisi tupo field kabsa mwanamke akikupenda utaishi kwa furaha sana maisha yako yote ya ndoa!
Msipendane tu mkuu....Sasa kwa sisi ambao hatuamini huo ushahidi uliotoa unatushawishi vipi? Au hii mada haituhusu?
Sasa next time uwe specific au hakikisha unagusa kote kote tena uje na rejea kabisa sio maneno matupuHapana. Sikulazimishi bali nawashirikisha na kuwashauri
Imagine unaoa jike dume haliwezi kazi zote za mwanamke ni chafu, halijui kupiga pasi, Nyumba chafu, halina kinyaa na uchafu, sio mtii sio myenyekevu, heshima zero, hajui neno samahani wala nisamehe. Oa at ur own risk, tupige mashine tuache ujinga wa kuoa kuoa ni uzembe......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.
Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.
Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
Ndiyo maana unashauri kuchunguza kwanza na kutest mitambo yote kabla ya kuoaImagine unaoa jike dume haliwezi kazi zote za mwanamke ni chafu, halijui kupiga pasi, Nyumba chafu, halina kinyaa na uchafu, sio mtii sio myenyekevu, heshima zero, hajui neno samahani wala nisamehe. Oa at ur own risk, tupige mashine tuache ujinga wa kuoa kuoa ni uzembe
Hiyo ni thiory tu back to the ground haipo hujasikia wanawake wanasema kabisa yule kaka ananipenda kweli kabisa lkn mie simpendi nampenda someone......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.
Lakini bahati nzuri ni kwamba, mwanume akimpenda mke automatically atamheshimu mkewe, na mwanamke akipendwa na kuheshimiwa automatically atamtii mumewe.
Ndoa nyingi zinavunjika kwa kukosekana kwa heshima na utii baina ya mke na mume.
Wanawake wa Sasa wa social media kama hawana hisia na wewe ukamuoa utagongewa vibaya mno......imeandikwa kuwa " mume ampende mke na mke amtii mume". Na isiwe kinyume chake. Mke hapaswi kupenda bali kupendwa, na kazi ya mke iwe ni kutii kama jeshini vile.