Ndoa hapana! Sitaki

Wavuta sugara wananuka kishizi yaani..

Achana na tumbaku mkuu..
Kuna mwalimu wangu mmoja aliwahi kusema nanukuu:

Mwanaume halisi hunuka kama beberu kama hiyo haiwezekani vuta sigara.

Mwanaume ambaye ni halisi hatakiwi kunukia vizuri na unanukia vizuri ili iweje?
 
namba saba hujaweka kwenye list: Kupiga punyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…