Ndoa hapana! Sitaki

Ndoa hapana! Sitaki

Ipo philosophy moja kuna rafiki yangu humu jf aliwahi kuniambia kwamba ukienda kutoa posa halafu utajiwe kutoa mahari kubwa hiyo huwa ni mbinu ya kukufukuza kama endapo familia haijakupenda
Then kuna mwenzio anatajiwa ndogo kwenye familia hiyohiyo

Na unakuta Husband Material ni yule asiyependwa na familia

Tumwombe Mungu.
 
Milioni 2 nayo ni hela ya kulalamika hapa simamia tu kuwa hujamwelewa huyo mchumba wako+ huna mpango
So Mil.2 sio hela ni nini?

Watu wanashindwa kuoa kwa mahari ya 800K mpaka wanaacha kuoa ndio iwe 2M?

Imagine Mtu amemaliza chuo ana 5 yrs hana ajira kabisa na labda hana wazazi wote wawili au support ya ndugu
 
Kabla ya kulipiwa inabidi apigwe mambo ili ajue uanaume ni nini, 2m mtu analialia ataweza kuja kulipa ada ya mtoto shule binafsi huyu au ndio mama samia oyee.
Simtetei ila tunatofautiana uwezo.

Anaweza akawa ndio amemaliza chuo recently au hata few years back ila hana ajira na ni yatima...hana support kutoka popote....hapo kwanini 2M isiwe mtihani kwake?

Hapa JF na hata mtaani watu hawafanani na wengine wanajikweza hapa ila kiuhalisia wana maisha magumu.
 
Simtetei ila tunatofautiana uwezo.

Anaweza akawa ndio amemaliza chuo recently au hata few years back ila hana ajira na ni yatima...hana support kutoka popote....hapo kwanini 2M isiwe mtihani kwake?

Hapa JF na hata mtaani watu hawafanani na wengine wanajikweza hapa ila kiuhalisia wana maisha magumu.
Mpuuzi mmoja huyo, jambo lolote kuliendea lazima ujipange, sasa yeye alitaka atajiwe mahari elfu 30.
 
Ndoa ni nzuri tena inapendeza hata kwa mwenyezi, tatizo ni kwamba wanandoa weng hasa wanawake pamoja na wazazi wao wameegemea ktk maslahi ya kunufaika zaidi hivyo kijana wa leo aliyetelekezwa na wazazi kiuchumi hapa anageuzwa mnyonywaji

Kijana wa leo mwenye kipato cha 1000 kwa siku

huyu ndo mjenzi wa taifa.

Kodi zinamuandama kwa kasi,

michepuko inamchuna ingawa
ni hiari yake,

Wezi wanamnyemelea huyuhuyu ,

wazaz na ndugu zake wanasubil msaada wake,

wazaz na ndugu wa mke ndo usiseme kabisaa

Akionesha juhudi ktk kupambana wachawi nao wanamuonea gere
Na wengne kibao

kwa hali kama hiyo unazani kijana ataoa kwa aman na furah kweli? Au ndo watoa kwa kuwa nature inataka aowe?
 
Back
Top Bottom