Ndoa hapana! Sitaki

Ndoa hapana! Sitaki

Ngoja nikuambie kitu kimoja oa mwanamke wa hivi.

1.akiwepo unaamani sio unawasiwasi.
2. Pili anakuelewa madhaifu yenu
3.upo free kufanya lolote ndani mkiwa wote kuongea lolote ila sio michepuko.
4.unamtunza ila sio mroho wapesa na Wala asiwe anakupressure bila sababu Kuna Ile kukupresha ili uwe kitu ila sio kukupresha upate vitu usivyoweza kufanya.

Ila hakuna mahali popote Africa watakupa mke Bure so oa Mzungu ila hata wa mexico lazima ulipe bride price .
 
Mimi mambo ya ndoa nlianza kuyaona magumu pale nlpoona baba mpangaji mwenzangu ananyata asubuh saa 11 akitaka kusepa bila kuacha hela...!!na mke akamuwah kwenye korido...!!sasa hapo nkawa nmeganda tu na ndoo yangu...niende niendako au nirudi chumbani...!!
 
Nilikwenda kuchumbia mahali fulani...majibu yakatoka nikaambiwa nipeleke milioni mbili..,nimejitafakari aisee ni hapana sijajua wazazi wa Binti watanifikiria vipi ...ila watanisamehe tu.

Kwanza naenda kumnunua mtu...pesa inatoka hapo,pili natakiwa niwe namhudumia kwa kila kitu nikiwa naye nayo ni pesa hio,tatu Mwanamke atakuja kunibana aisee nishazoea kulala pekeangu,nne nahofia tukiachana nitapoteza hata hivi vichache nilivonavyo...mwisho kabisa Mwanamke nimemuona mtu wa lawamalawama sana...kwanza ni ngenye ndio zilisababisha harakaharaka nichumbie

Binafsi nikifikisha miaka 40 labda ndio nifikirie kuoa kwa saivi najitafuta kwanza nahitaji niimarike kiuchumi

Mikakati ninayokuja nayo

1.naacha pombe,sigara
2.nakuwa mtu wa ibada na kusoma vitabu.
3.nakuwa mchumi na mbahili lakini nataka nifanye kazi kwa bidii sana
4.naweka akiba
5.nakuwa mtu wa kujipenda na kupendeza kuvaa vizuri
6.mbinafsi.

Note:ndoa ni muhimu lakini sio lazima
Umekuja vizuri Sana,unalipa DStv wakati utakuwa na bili kila mwezi,kila wiki na kila saa unamapa Hadi attention hell no,hakuna promotion wala nini piga chini
 
Wasiolewe tu tunaokoa kizazi cha kiume kinachoteseka bla sababu za msingi kisa ndoa
Tena magonjwa mengi wanatusababishia wanawake,hatutaki watu wafe kwa sukari na pressure, kila mtu ashinde na xhake,mkutano wenyewe ni malipo tuu
 
Back
Top Bottom