prince john john
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 2,184
- 3,369
Usiache pombe wala sigara utanikumbuka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then kuna mwenzio anatajiwa ndogo kwenye familia hiyohiyoIpo philosophy moja kuna rafiki yangu humu jf aliwahi kuniambia kwamba ukienda kutoa posa halafu utajiwe kutoa mahari kubwa hiyo huwa ni mbinu ya kukufukuza kama endapo familia haijakupenda
So Mil.2 sio hela ni nini?Milioni 2 nayo ni hela ya kulalamika hapa simamia tu kuwa hujamwelewa huyo mchumba wako+ huna mpango
Mkuu Mlipie jamaa hiyo mahari. Kahela kadogo sana hako.Kamna cha blabla nyingi, sema wewe ni shoga tu. Mwanaume kamili anayajua majukumu yake haogopi kuoa. Milioni 2 ni hela ya kawaids tu ila wewe inakutoa ushuzi.
Kabla ya kulipiwa inabidi apigwe mambo ili ajue uanaume ni nini, 2m mtu analialia ataweza kuja kulipa ada ya mtoto shule binafsi huyu au ndio mama samia oyee.Mkuu Mlipie jamaa hiyo mahari. Kahela kadogo sana hako.
Simtetei ila tunatofautiana uwezo.Kabla ya kulipiwa inabidi apigwe mambo ili ajue uanaume ni nini, 2m mtu analialia ataweza kuja kulipa ada ya mtoto shule binafsi huyu au ndio mama samia oyee.
Mpuuzi mmoja huyo, jambo lolote kuliendea lazima ujipange, sasa yeye alitaka atajiwe mahari elfu 30.Simtetei ila tunatofautiana uwezo.
Anaweza akawa ndio amemaliza chuo recently au hata few years back ila hana ajira na ni yatima...hana support kutoka popote....hapo kwanini 2M isiwe mtihani kwake?
Hapa JF na hata mtaani watu hawafanani na wengine wanajikweza hapa ila kiuhalisia wana maisha magumu.
Tukutafutie mume maana unalalamika hakuna alieharibika wala kuharibiwaKatika suala la mahusiano JF inaharibu vijana aisee......Yaan hapana jaman...daaa
Ninae mkuu.....afu mpaka wa kuzurura nao huku wapo wengi mkuuTukutafutie mume maana unalalamika hakuna alieharibika wala kuharibiwa
Kama unae tulia sasa usipige keleleNinae mkuu.....afu mpaka wa kuzurura nao huku wapo wengi mkuu
Kabisa mkuuMe naona hawa wanaoharibiwa ni wale hawajielewi,,,hawatambui nini wanahitaji wao kama wao kwenye maisha yao ya mahusiano.
Usiumie naandika Kwa ajili ya vijana wanaosema katana ndoa humu na wanaofuata mkumbo.Sijaandika Ili unihoji kuhusu maisha yangu binafsi mkuuKama unae tulia sasa usipige kelele
hakuna aliekataa mkuu hatumaanishi tunapenda NdoaUsiumie naandika Kwa ajili ya vijana wanaosema katana ndoa humu na wanaofuata mkumbo.Sijaandika Ili unihoji kuhusu maisha yangu binafsi mkuu
Hakika hao uwafikieUjumbe wakaa ndoa uwafikie kila mtu .
😳🤣🤣🤣🤣🤗🤐hakuna aliekataa mkuu hatumaanishi tunapenda Ndoa
sawa sisi tunajirundika kwa ndoa nyinyi kwa kupewa title ya nyumba ndogoKutishia watu tu mngeenda kujilimbikiza kwa dr mwaka na manara kungekua na uhaba mafungu matatu kwa Mia unapata
huyu ndo mjenzi wa taifa.
Kodi zinamuandama kwa kasi,
ni hiari yake,michepuko inamchuna ingawa
Wezi wanamnyemelea huyuhuyu ,
wazaz na ndugu zake wanasubil msaada wake,
wazaz na ndugu wa mke ndo usiseme kabisaa
Na wengne kibaoAkionesha juhudi ktk kupambana wachawi nao wanamuonea gere
Maneno yako hayapo mbali na uhalisia wa maisha ya nyakati tulizo nazo........Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Ndoa Ni Wizi
Kataa Ndoa