Kambaku
JF-Expert Member
- Nov 12, 2011
- 8,332
- 31,306
Kubwa ni ngapi mkuu, na mahari ndogo ni ngapi?Ipo philosophy moja kuna rafiki yangu humu jf aliwahi kuniambia kwamba ukienda kutoa posa halafu utajiwe kutoa mahari kubwa hiyo huwa ni mbinu ya kukufukuza kama endapo familia haijakupenda
Kumbuka unaweza ona wewe kubwa lakini mwingine akaona ni Sawa hesabu hiyo hiyo na mwingine akaona ni ndogo Sana Katajiwa hesabu hiyo hiyo!
Kwani hata ukitajiwa milioni Mia, ni Nani aliwaambia mahari inalipwaga yote nyie vijana. Kwanza mahali inabargeiniwa, we jielezee kiasi ulicho nacho!
Na mahari ni symbol tu, huwezi kulinganisha mtoto wa kike na hiyo value unayotajiwa