Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

FRESHMAN

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2011
Posts
9,137
Reaction score
34,793
1707774218279.png

Habari wadau.

Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira.

Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa.

Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai ishi pamoja zaidi ya 1 month

Yaani katika hiyo miaka mitano ya ndoa mke na mume hawana bond yoyote.

Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani sababu hajawai ishi nae muda mrefu. Mume pia hajui pia hata mke anapenda kupika nini ama kuvaa nguo gani ama kusuka msuko gani maana hawajawai ishi pamoja.

Ndoa hewa mnazionaje?
 
Attachments

  • 1707774093743.png
    1707774093743.png
    6.4 KB · Views: 3
pesa
malezi ya watoto
ajira za kulumbana,na bosi kila siku
stress za maisha

hadi na kidude kinachoitwa,ndoa,nacho kikufanye,uwe,limited area 😳

mtasubiri sana (in zuchu voice)
 
pesa
malezi ya watoto
ajira za kulumbana,na bosi kila siku
stress za maisha

hadi na kidude kinachoitwa,ndoa,nacho kikufanye,uwe,limited area 😳

mtasubiri sana (in zuchu voice)

Unamaanisha nini? Sijakuelewa
 
Kwanini wakristo sana na sio dini nyingine?

Hiyo sababu sijui. Kwa walionizunguka mimi sijawai kuona muislam anafunga ndoa kisha baada ya ndoa mke anaenda kuishi mkoa mwingine na mume mkoa mwingine.

Waislam ndoa zao ni kuishi pamoja maana mume hachelewi oa mke wa pili fasta tofauti na sisi wakristo
 
Wanawake wa kiislam majority ni wajsdiamali so jinrahisi kumfuata mumewe akafanye ujasiriamali huko huko kwa mumewe,japo inaonekana una vielement vya udini kila kitu unakitazama kidinidini
 
Back
Top Bottom