Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

Kuna kitu naonaga wanaita e-cigarettes, sijajua wanavutaje hizi..
Labda hizi ndoa bandia nazo zinaweza kustahili kuitwa e-marriages..

Yaani una mke afu unalazimika kuwa unanunua huduma ya mbususu regularly, na mkeo anakamuliwa huko.. Wakiitwa waliooa na ww unainua mkono kabisaaa!!!
 
Kuna kitu naonaga wanaita e-cigarettes🙄🤔, sijajua wanavutaje hizi..
Labda hizi ndoa bandia nazo zinaweza kustahili kuitwa e-marriages😊..

balaa tupu. Mtu una mke ila nguo unapeleka kwa dobi ama unahangaika kufua. Papuchi mpaka utegee ma baa maid ama wauza uchi
 
Hiyo sababu sijui. Kwa walionizunguka mimi sijawai kuona muislam anafunga ndoa kisha baada ya ndoa mke anaenda kuishi mkoa mwingine na mume mkoa mwingine.

Waislam ndoa zao ni kuishi pamoja maana mume hachelewi oa mke wa pili fasta tofauti na sisi wakristo
Kuibebesha dini hili tatizo umekosea labda ungesema watumishi au waajiriwa kwa ujumla ndio changamoto inawakumba.
 
Hiyo sababu sijui. Kwa walionizunguka mimi sijawai kuona muislam anafunga ndoa kisha baada ya ndoa mke anaenda kuishi mkoa mwingine na mume mkoa mwingine.

Waislam ndoa zao ni kuishi pamoja maana mume hachelewi oa mke wa pili fasta tofauti na sisi wakristo
Wapo, tena wa kutosha tu. Kuna jamaa wanaishi Mozambique wake zao wapo dsm. Jamaa mmoja alioa Jan akaacha mke saivi yupo Mozambique, kuna dada ana kama 4yrs kwa ndoa, mume anarudi mara moja kila miezi mitatu anakaa wiki na kusepa. Wapo wengi tu!
 
Kwa hiyo umechunguza hadi umejua kuwa hawayajui hayo yote!?maisha Yao wamefanya hivyo nadhani wanapaswa kuheshimiwa
 
Habari wadau.

Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira.

Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa.

Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai ishi pamoja zaidi ya 1 month

Yaani katika hiyo miaka mitano ya ndoa mke na mume hawana bond yoyote.

Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani sababu hajawai ishi nae muda mrefu. Mume pia hajui pia hata mke anapenda kupika nini ama kuvaa nguo gani ama kusuka msuko gani maana hawajawai ishi pamoja.

Ndoa hewa mnazionaje?
Huu utafiti ulifanya wapi na lini ?
 
Ndoa za masafa marefu
 
Kuna kitu naonaga wanaita e-cigarettes🙄🤔, sijajua wanavutaje hizi..
Labda hizi ndoa bandia nazo zinaweza kustahili kuitwa e-marriages😊..

Yaani una mke afu unalazimika kuwa unanunua huduma ya mbususu regularly, na mkeo anakamuliwa huko.. Wakiitwa waliooa na ww unainua mkono kabisaaa!!!

Ndoa za kidijigitali
 
Back
Top Bottom