LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Kimsingi hakuna ndoa hapo! Mke atanyanduliwe na mtu mwingine na mume atanyandua mtu mwingine. Sifa mojawapo ya ndoa ni kuambatana pamoja katika maisha. Ndoa haiwezi kutenganishwa na kazi, mwanandoa mmojawapo atalazimika kumfuata mwenzake wakaishi pamoja anakofanyia kazi. Hizi kazi za kuajiriwa ndio kizungumkuti katika mustakabali wa ndoa kama wanandoa watakuwa wanafanya kazi mbali na wapotakiwa kuishi pamoja. Uhamisho upo kama mkeo ni ofisa wa juu kuliko wewe itabidi uombe uhamisho umfuate aliko. Vinginevyo kutakuwa na usaliti katika ndoa na hata kuleta watoto wasio wa ndoa ndani ya ndoa