Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

Kimsingi hakuna ndoa hapo! Mke atanyanduliwe na mtu mwingine na mume atanyandua mtu mwingine. Sifa mojawapo ya ndoa ni kuambatana pamoja katika maisha. Ndoa haiwezi kutenganishwa na kazi, mwanandoa mmojawapo atalazimika kumfuata mwenzake wakaishi pamoja anakofanyia kazi. Hizi kazi za kuajiriwa ndio kizungumkuti katika mustakabali wa ndoa kama wanandoa watakuwa wanafanya kazi mbali na wapotakiwa kuishi pamoja. Uhamisho upo kama mkeo ni ofisa wa juu kuliko wewe itabidi uombe uhamisho umfuate aliko. Vinginevyo kutakuwa na usaliti katika ndoa na hata kuleta watoto wasio wa ndoa ndani ya ndoa
 
Mtoa mada unashauri nini labda maana sio kwamba wanapenda iwe hivyo ni katika harakati za itafutaji
 
Nashauri ndoa ifungwe kwa kufata misingi na maana ya ndoa.

ili ndoa iwe ndoa ni lazima ifate msingi wake kama biblia inavyosema kwenye Mwanzo 2: 24 ” hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.”

Hata mbingu zinawashangaa eti mwili mmoja mke anaishi mkoa wa dodoma na mume anaishi mkoa mtwara, hiyo siyo ndoa ya biblia

Ni maajabu kuwa mwili mmoja halafu mnalala mikoa tofauti, mwili mmoja hulala kitanda kimoja, hula chakula cha aina moja, hutumia bajeti moja. Sasa wewe jiulize hiyo ndoa ya kuwa mbali na mwenzako ni hii aliyoiagiza MUNGU ya mwili mmoja au ipo nyingine. Nawashauri wachungaji wanapofungisha ndoa waulize kwanza kama wana ndoa watakuwa wanaishi pamoja au mikoa mbalimbali, na kama watajiridhisha kwamba watakuwa mikoa mbalimbali basi wasilitumie kabisa neno hili la mwanzo 2:24 la kusema watakuwa mwili mmoja maana hapo wanalidanganya kanisa kwani watakuwa na ndoa ya miili miwili tofauti.
 
Kwa maana unataka mmoja aachane na habari ya kutafuta ili aambatane na mwenzie?
 
Kutafuta sio lazima kwenye kuajiriwa tu. Kuna njia nyingi za kutafuta nje ya kuajiriwa
Ndugu yangu kujiajiri ni kipaji. Inakuwa rahisi kama umeingia ndoani ukiwa huna hiyo ajira ila ndoa ikikukuta kazini aisee pagumu hapo
 
Kwa mtu ambaye huwezi kuacha ajira sababu ya ndoa.. inabidi uwe makini sana ufunge ndoa na mtu anaefanya kazi mkoa uliopo. Ni jambo zuri kukubali kuachana na mtu wako anaefanya kazi mkoa wa mbali. Kuliko kufosi ndoa hewa

Ndoa changa inahitaji kutengeneza bond kwa wanandoa. Haipaswi kuanza kwa kuishi mbali mbali.

Ni bora mbali mbali ije kutokea mbelenu ndoa imeshaota mizizi.

Miaka ya mwanzo hakuna ujanja wa kukwepa kuishi pamoja
 
Tatizo mapenzi haendi hivyo, wewe upo Bukoba huko unajikuta umekufa umeoza kwa mtu wa Iringa [emoji16]
 
Ndoa huwa hazifungwi kwa sababu ya kupendana tu. Ndoa ni partnership inahitaji teamwork kubwa.. lazima compatibility iwepo.. hivyo vyote huwezi kuvipata kama mnaishi mikoa tofautu
 
Kwa hiyo uache mtu unayempenda ukafunge ndoa na mtu usiyempenda kisa mnaishi mkoa mmoja
 
Upendo huwa unakuja na kuisha.. watu wanao divorce kila siku huwa zamani walikuwa wanapendana. Upendo unajengwa na ukaribu pia. Mtu ukiishi nae mbali mbali upendo unakwisha pia.

Ukaribu pia ni factor ya kujenga upendo.
 
Sawa. Kila siku tunaendelea kujifunza...natumaini vijana wanakuelewa
 
Habari wadau.

Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira.

Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa.

Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai ishi pamoja zaidi ya 1 month

Yaani katika hiyo miaka mitano ya ndoa mke na mume hawana bond yoyote.

Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani sababu hajawai ishi nae muda mrefu. Mume pia hajui pia hata mke anapenda kupika nini ama kuvaa nguo gani ama kusuka msuko gani maana hawajawai ishi pamoja.

Ndoa hewa mnazionaje?
Kama unaweza basi dance to the tune, ndoa ni commitments ndoa so wanandoa wataziishi kulingana na malengo waliyojiwekea au namna wanavyoweza waka swing na waves.
Tafsiri yako inaweza isifanane ya kwao, ni bora uwaulize kuliko kuwashutumu kuwa wanakosea, kisa unataka waishi vile utakavyo wewe au vile ulivyozoea.
kuna wengi wanaishi pamoja lakini hawajadumu ingawa wanaonekana pamija, angalau hawa wa mbali utakuta pamoja na umbali lakini wanadumu
 
Sawa. Kila siku tunaendelea kujifunza...natumaini vijana wanakuelewa

1707774374713.png
 
Back
Top Bottom