antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Kuna kitu naonaga wanaita e-cigarettesππ€, sijajua wanavutaje hizi..
Labda hizi ndoa bandia nazo zinaweza kustahili kuitwa e-marriagesπ..
Yaani una mke afu unalazimika kuwa unanunua huduma ya mbususu regularly, na mkeo anakamuliwa huko.. Wakiitwa waliooa na ww unainua mkono kabisaaa!!!
Kuibebesha dini hili tatizo umekosea labda ungesema watumishi au waajiriwa kwa ujumla ndio changamoto inawakumba.Hiyo sababu sijui. Kwa walionizunguka mimi sijawai kuona muislam anafunga ndoa kisha baada ya ndoa mke anaenda kuishi mkoa mwingine na mume mkoa mwingine.
Waislam ndoa zao ni kuishi pamoja maana mume hachelewi oa mke wa pili fasta tofauti na sisi wakristo
Wapo, tena wa kutosha tu. Kuna jamaa wanaishi Mozambique wake zao wapo dsm. Jamaa mmoja alioa Jan akaacha mke saivi yupo Mozambique, kuna dada ana kama 4yrs kwa ndoa, mume anarudi mara moja kila miezi mitatu anakaa wiki na kusepa. Wapo wengi tu!Hiyo sababu sijui. Kwa walionizunguka mimi sijawai kuona muislam anafunga ndoa kisha baada ya ndoa mke anaenda kuishi mkoa mwingine na mume mkoa mwingine.
Waislam ndoa zao ni kuishi pamoja maana mume hachelewi oa mke wa pili fasta tofauti na sisi wakristo
Afu ni Wakristo tuUsicheke. Ndoa za mume yupo dodoma mke yupo mbeya zimejaa sana
Tunatakiwa tuwe na locationships tuu sasa. Pale ulipo unakamatia mrembo mnapeana utamu maisha yanasongaKATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Huu utafiti ulifanya wapi na lini ?Habari wadau.
Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira.
Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa.
Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai ishi pamoja zaidi ya 1 month
Yaani katika hiyo miaka mitano ya ndoa mke na mume hawana bond yoyote.
Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani sababu hajawai ishi nae muda mrefu. Mume pia hajui pia hata mke anapenda kupika nini ama kuvaa nguo gani ama kusuka msuko gani maana hawajawai ishi pamoja.
Ndoa hewa mnazionaje?
Wao wana msemo kwamba ^Familiarity breeds contempt^ (The closer and the better they know one another, the more likely they find fault with each other. Distance is therefore an antidote).
Sasa unataka kujua mkeo anapendelea kupika nn ili iweje
Ndoa za masafa marefuHabari wadau.
Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira.
Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa.
Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai ishi pamoja zaidi ya 1 month
Yaani katika hiyo miaka mitano ya ndoa mke na mume hawana bond yoyote.
Mke hajui hata mume anapenda kuvaa shati gani sababu hajawai ishi nae muda mrefu. Mume pia hajui pia hata mke anapenda kupika nini ama kuvaa nguo gani ama kusuka msuko gani maana hawajawai ishi pamoja.
Ndoa hewa mnazionaje?
Kwanini wakristo sana na sio dini nyingine?
^Ujamaa huzaa dharau^ (Kadiri wanavyofahamiana zaidi na zaidi, ndivyo wanavyozidi kupata makosa. Kwa hiyo umbali ni dawa).Kizungu kikalii sana.. umetuacha sisi la saba B
Sababu ndio wana ndoa za mke mmoja.
Kuna ukweli hapa,hili nalo mkalitazame^Ujamaa huzaa dharau^ (Kadiri wanavyofahamiana zaidi na zaidi, ndivyo wanavyozidi kupata makosa. Kwa hiyo umbali ni dawa).
ππ€£π ππππππ
Kuna kitu naonaga wanaita e-cigarettesππ€, sijajua wanavutaje hizi..
Labda hizi ndoa bandia nazo zinaweza kustahili kuitwa e-marriagesπ..
Yaani una mke afu unalazimika kuwa unanunua huduma ya mbususu regularly, na mkeo anakamuliwa huko.. Wakiitwa waliooa na ww unainua mkono kabisaaa!!!
Ndoa Dar Dodoma ni janga la Taifa katika ndoa.