Ndoa hizi zitatuua jamani!

Inaonekana huyo Mke humkazi sawasawa;

Iwapo Mke hakazwi sawasawa anakuwa ni mtu mwenye hasira mara kwa mara.

Hakikisha unamkaza na unamfikisha Kibo 🙌

Tenga muda wa kuwa naye.

Kuna wakati Mke anahitaji muda wako japo akusimulie mambo yake ya Mchana kutwa......

Mtafutie shughuli za kumfanya busy..........mfungulie kibanda awe anauza hata Mchele na maharage

Hakikisha weekend unamtoa out mkale hata Mihogo ya Coco beach pamoja

Usisahau kumkaza ili kumuondolea sumu mwilini Mwake
 
Broo kukaa kimya ndio kumpa kiki huyu vurugu zake ni wivu uliopitiliza unajua inafika muda sipendi hata kukaa nyumbani. Yani yeye kila mwanamke kwake ni mbaya.
 
Yani nitoke auti na mwanamke aise siwezi maana itakuwa vurugu.
 
Yani nitoke auti na mwanamke aise siwezi maana itakuwa vurugu.
Mkuu kama hilo Dogo huwezi basi itakuwa hukumpenda huyo Mkeo, labda umelazimishwa kuwa naye

Kuna njia za kumshusha temper Mkeo Moja wako ni hiyo ya kumtoa out

Tena ukiweza kumpeleka hotelini Siku hiyo usishangae ukapewa vitu ambavyo hukutarajia kupewa...😜
 
Siwezi kutoka nae kwasababu ninakuwa sinaamani. Kwasababu hataki uangalie mwanamke yeyote.
.
 
Mkuu mbona changamoto Ndogo Sana hiyo.

Ila mchunguze vizuri, kama mke wako ana wivu sana na wewe kuna mawili. Either anagawa sana nje au anakupenda Sana.
 
NDOA NI UTAPELI,TAFUTA AMANI YA MOYO:CC:Mkuu wetu mr Liverpool VPN
 
Siwezi kutoka nae kwasababu ninakuwa sinaamani. Kwasababu hataki uangalie mwanamke yeyote.
.
Hahaha..........kwani ukitoka naye out na ukasema uzibe macho usione kwingine huwezi Mkuu?

Nina mashaka huyo Mkeo hukumpenda Kwa dhati, ni kama umelazimishwa kuwa naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…